Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Israel ni wachumba tu.
Jipatie maarifa mwenyewe ktk Biblia usisubiri kutafuniwa kila kitu utaingizwa mkenge Mkuu.Unabii gani?
Katika kitu Irani alizingua ni hiki,sijui alidhani siku moja hao wajinga wangemtolea vikwazo.Angetembea na model ya kiduku hata wasingemgusa.Iran walikosea kukaguliwa na kuingia kwenye majadiliano na US wangejifunza kwa kiduku,alivyoona wanazenguwa akakata mawasiliano nao!
mbona hio post ni kama anaomba amani na vita iishe tusubiri kuona damage, wametumia B2?
PlppqDah eti congratulations to our great warriors. Yani hata ajali wangapi wameuwawa hawana hatia.
Kma ni wachumba mbona hamjawamalizaIsrael ni wachumba tu.
Russia wako busy sahiz na vita yaoTusubiri majibu ya mpambe wake Russia,
Mwisho wake sio mzuri! Kuna jambo litatokea duniani.Huu mgogoro sijui mwisho wake utakuwaje
Kinachoendelea hivi sasa ni Israel vs Iran,Marekani ni kama mbeba mizigo anayemsaidia msafiri kubeba mizigo kumrahisishia safari yake.Usitudanganye hapa Israel ampige Iran since when?
Au USA imekua Iran?
Sahihi kabisa hii dunia inahitaji kuishi kibabe pia kwa kiwango cha uzalishaji walichokuwa wamefikia walitakiwa watengeneze nukes na wazitest kama kiduku,yaani wasingesogeza puaKatika kitu Irani alizingua ni hiki,sijui alidhani siku moja hao wajinga wangemtolea vikwazo.Angetembea na model ya kiduku hata wasingemgusa.
Na ameshambulia asubuhi hii Iran.Kinachoendelea hivi sasa ni Israel vs Iran,Marekani ni kama mbeba mizigo anayemsaidia msafiri kubeba mizigo kumrahisishia safari yake.
Atoke hadharani adijifiche! Mbona PM wa Israel ametembelea site zilizopata maafa. Umeona ayatollah kafanya hivyo kwenye nchi yake? Kwanini?Kwa hiyo utawala wa Iran na Ayatollah utaendelea kuwepo?
Hakuna siri yeyote anayoweza kua nayo Irani , ndege zaid ya 200 zinaingia kwenye anga lake na kuondoka hajui, ndio aje afiche kitu? Mossad wameweka kambi hapo hapo Iran na hajashtuka miaka yote aje ahame hawajui ? Mbona mnapenda kujitukana , you are better than thisHaya we ndio una akili unaye dhania US anakuona mpaa time unakwenda kunya hahaha
Hata mm nasubiria kwa hamu Mungu atende miujiza hapa TZYaani nilivyoona breaking news na hiyo rangi basi mapigo ya moyo yamenienda mbio nilidhani Kuna kifo
Ayatollah ni supreme leader kidini.Atoke hadharani adijifiche! Mbona PM wa Israel ametembelea site zilizopata maafa. Umeona ayatollah kafanya hivyo kwenye nchi yake? Kwanini?
Mbongo wa namttumbo huko unajua na una taarifa za kweli kuliko rais wa taifa kubwa ? 😂😂😂Hotuba ya Trump imekaa kiuongo uongo sana,yamkini hakuna chochote walichofanya so far sijaona hata video inayoonesha hilo tukio.
Ngoja tujipe muda tutajua tu.
The goal is to demolishe the infrastructures, site zilizopigwa zilikua kwaajil ya uranium conversion facility and other nuclear infrastructure, sio kwamba zilikua zinahifadhiwa active nuclear weapons, hapanaWamepiga hewa ,watu juzi walisema walihamisha kila kitu kwenda kusikijulikana.🤣🤣🤣
View attachment 3378438