Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.

In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.

The president's full post reads:


View attachment 3378447
Kuna watu wanacheka sijui nini kinawachekesha.

View: https://www.instagram.com/p/DLIK-phNW_0/?igsh=YjZ0OWg2dmhqaGs0
 
Israel na mumewe USA hadi sasa wamefanikiwa kumuondoa Ayatollah kama sehemu ya mkakati wao ?

Hadi hapo hujaona nguvu ya Iran hadi mataifa kadhaa kumchangia?

Ni sawa na wewe unapigana na mwenzako halafu ulivyoona unazidiwa ukamuimba mume wako akusaidie kuingilia ugomvi lakini bado licha ya mume kuingilia ugomvi hamjafanikiwa kumdhibiti mbabe wenu.

Hapo utatoka unashangilia wewe ni mshindi ama ni dhaifu?
Lengo sio hayatollah mkuu,lengo kuu nadhani umeliona

Hayatollah ni mtu mdogo sana.
 
Walijua kuwa hawatakiwi kuwa na nyuklia lakini walikuwa navyo kibishi kwahiyo uwezekano wa kuwa na plan zingine walikuwa nao. Hata hivyo mashambulizi ya marekani huenda hayajaharibu kabisa na huenda Iran ina site zingine ambazo wanazijua wao wenyewe.
Iran hatakiwi kuwa na nyuklia kwa mujibu wa nani?

Na Israel na Marekani wao wanazo hizo nyuklia.

Nani aliwapa wao ruhusa za kuwa nazo hizo silaha?
 
umemalizika kivipi wakati utawala wa maayatollah bado unadunda?
Hata leo hii wakiamua kuuteketeza utawala huo wanaweza!! Wairani wameishi maisha magumu miaka yote kisa vikwazo vya kutengeneza nyukria leo yako wapi?!!hao warusi,china na N.korea wako wapi?
 
Huu mgogoro sijui mwisho wake utakuwaje
Ukiielewa western power wala huumizi kichwa mwisho wake utakuaje.

Hapo ni kuusambalatisha kabisa utawala wa islamic ndio lengo kuu.

Au ubaki ila uwe ni wamapuppets wa western

Hizo ndio option kuu mbili alizonazo muirani.
 
Kwahiyo Marekani tayari ameuondoa uongozi wa Ayatollah ambao wanasema ndiyo kikwazo?

Statement ya Trump inaonesha dhahiri ni uoga uliomjaa hakuna chochote cha maana alichofanikiwa.
Mbona akiamua kuwaua wote hata leo tu siku haiishi!!Iran ni axis of evil!!mfadhiri mkubwa wa ugaidi duniani ni IRAN
 
Huyu nae apunguze mikwala,kasakiziwa vita na Ukrain kashindwa kuonyesha uwezo wake mwaka wa tatu huu sasa anatolewa kamasi,sasa hivi anajifanya tena kuchimba biti Iran...
Hana Msaada kabisa kwa washirika wake.Sio Kiongozi wa kutumainiwa kwenye jinsi kama ambayo wengine wanamtumainia USA.
 
wanacheka kwa sababu mbabe wa mashariki ya kati katuangwa nyuklia zake alizokuwa anatishia kuangamiza israel
Iran ana nyuklia gani? Mbabe wa wapi? Amewahi shambulia Nchi gani?

Ni vile Russia nae ni mzungu hana Msaada Kwa washirika wake so Kwa kuwa Iran amekataa kusujudia Marekani ndio maana anaadhibiwa.
 
Back
Top Bottom