Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.

In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.

The president's full post reads:


View attachment 3378447
Tusubiri malipizi sasa 😭
 
Mawazo ya kitoto sana hayo, lengo ni kushinda by whatever it takes. Hayo yote yalishapangwa na US ni moja ya silaha ambazo Israel walishajipanga nazo, unapokuwa vitani lazima ujue aina ya silaha za adui na options alizonazo. Mipango na akili ni vitu muhimu zaidi ya kukurupuka na kuhamaki though kiukweli hakukuwa na ulazima wa kuishambulia Iran ndiyo maana imajikuta tu inajibu mashambulizi(it's their right to defend themselves) lakini actual plans za kushinda vita hawana, they'll destroy and cause damages, inflict injuries or kill but they don't have what it takes to win the war na hawana strategies za kushinda.
Allies pia ni silaha muhimu katika vita.
😍
But, Israel anayo sababu
 
Dah eti congratulations to our great warriors. Yani hata ajali wangapi wameuwawa hawana hatia.
Hawakulenga maeneo ya makazi, wamelenga sites za nuclear; kwasababu ya mionzi ya hayo madude, huaga yanawekwa mbali na makazi ya watu and hence raia kuuawa ni nadra, labda wana jeshi na wenyewe hawaruhusiwi kuingia humo bila kuvaa yale mavazi yanayo zuia mionzi
 
Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.

In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.

The president's full post reads:


View attachment 3378447
Yale mazungumzo ya Iran na Marekani yalikiwa kanyaboya tu.
 
Iran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear
Walipeleka Russia??
 
Urusi iliposema inakwenda kuzihifadhi yeye hizo nuclear za Iran ili Israel na marekani waondoe hofu, marekani ikaona urusi itafaidika kwazo ndio ikaamua kuziharibu
Technology iliotengeneza hizo nudes ni ya Russia and ni Russian army ndio waliofanya yote hayo; as we speak, Russia ndio mwenye ana vichwa vingi vya nuclear kuliko yoyote duniani; wivu utoke wapi hapo? Dunia inataka only wenye akili timamu ndio wamiliki hizo silaha, vichaa hapana. I can predict, Pakistan nao ni suala la muda tu, huko mbeleni huenda nae akanyang'anywa
 
Yes, sasa hivi watengeneze tu hilo bomu maana hakuna namna tena.
Huenda ndio wamewapa sababu ya kutengeneza hilo bomu.

Nchi korofi kama Korea Kaskazini nao pia wamepata sababu za kuunda silaha za maangamizi ili kulinda tawala zao.
 
Hilo Dege Kubwa La US Linaruka Lazima Liwe Na Ndege Ndogo Pembeni
 
Trump kawachezea Irani mchezo. Siku chache zilizopita alisema ataamua mambo kuhusu Irani wiki mbili zijazo. Kabla ya wiki kuisha kawafyatua mazima.
Wala hajawachezea.

Na hakusema ataamua wiki mbili zijazo.

Alisema ataamua ndani ya wiki mbili.

Wiki mbili zijazo na ndani ya wiki mbili ni tofauti.

Ndani ya wiki mbili maana yake ni kwamba, anaweza kuamua siku yoyote ile tokea atangaze kwamba atafanya hivyo ndani ya wiki mbili.

Ndani ya wiki mbili maana yake pia angeweza hata kuamua siku ile ile aliyotangaza kwamba ataamua ndani ya wiki mbili au pia angeweza kuamua siku ya mwisho ya hizo wiki mbili.

Ndani ya wiki mbili haimaanishi baada ya wiki mbili.

Jitahidini kuelewa.
 
Back
Top Bottom