Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Wala hajawachezea.

Na hakusema ataamua wiki mbili zijazo.

Alisema ataamua ndani ya wiki mbili.

Wiki mbili zijazo na ndani ya wiki mbili ni tofauti.

Ndani ya wiki mbili maana yake ni kwamba, anaweza kuamua siku yoyote ile tokea atangaze kwamba atafanya hivyo ndani ya wiki mbili.

Ndani ya wiki mbili maana yake pia angeweza hata kuamua siku ile ile aliyotangaza kwamba ataamua ndani ya wiki mbili au pia angeweza kuamua siku ya mwisho ya hizo wiki mbili.

Ndani ya wiki mbili haimaanishi baada ya wiki mbili.

Jitahidini kuelewa.
Asante mkuu.
 
Iran haikuwa na Nuclear ni basi Tu wameionea.
Ni kweli Irani Hana nyuklia bomb, but ana miradi kabambe ya uzajishaji wa nyukilia japo anasema kwa matumizi mengine. Na wakati huo huo ana mpango wa kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia.

Amid yote hayo, unadhani anaaminika?
 
Kama Iran ilikuwa haina plan A,B,C, na D kuhusu hivyo vinu, basi watakuwa mabwege sana.

Mtu yeyote mwenye akili alitakiwa awe Amish India vitu vyote vilivyo nyeti.
Walijua kuwa hawatakiwi kuwa na nyuklia lakini walikuwa navyo kibishi kwahiyo uwezekano wa kuwa na plan zingine walikuwa nao. Hata hivyo mashambulizi ya marekani huenda hayajaharibu kabisa na huenda Iran ina site zingine ambazo wanazijua wao wenyewe.
 
Screenshot_20250622-073706.png
 
Kwahyo kobaz mmefanya Israel kuomba poooo ahh kobaz huyu ndyo mwenye akili 😀😀😀😀😀
 
Halafu kuna watu watakwambia Israel ni taifa lenye nguvu wakati ugomvi wa wiki moja tu kaomba msaada kwa mume wake amsaidie.

Iran amesimama peke yake dhidi ya Israel, Marekani na mataifa kibao yanayomsaidia Israel lakini hakuna wanachofanikisha.

Pro mashog,a huu sio wakati wa kuendelea kudanganywa na Marekani ni wakati wa kutumia akili ulizojaaliwa kuchanganua mambo.
 
Tafsiri halisi hapo ni kwamba Israel ameomba poo ndiyo maana vita vya wiki moja tu ameomba msaada kutoka kwa hawara wake.😂😆

Tulisema humu hii vita ikienda mwezi mmoja tu Israel lazima ulimi umtoke tukashambuliwa .

Haya sasa mmejionea wenyewe kumbe hawana hata makombora ya kushambulia vinu vya nyuklia mpaka waombe msaada.
 
Kamdomo, ukimsikia Ayatollah wakati anawahutubia wenye kaswende ya Ubongo basi utaamini Iran ndio Super power Nation number one duniani.
Israel na mumewe USA hadi sasa wamefanikiwa kumuondoa Ayatollah kama sehemu ya mkakati wao ?

Hadi hapo hujaona nguvu ya Iran hadi mataifa kadhaa kumchangia?

Ni sawa na wewe unapigana na mwenzako halafu ulivyoona unazidiwa ukamuimba mume wako akusaidie kuingilia ugomvi lakini bado licha ya mume kuingilia ugomvi hamjafanikiwa kumdhibiti mbabe wenu.

Hapo utatoka unashangilia wewe ni mshindi ama ni dhaifu?
 
Halafu kuna watu watakwambia Israel ni taifa lenye nguvu wakati ugomvi wa wiki moja tu kaomba msaada kwa mume wake amsaidie.

Iran amesimama peke yake dhidi ya Israel, Marekani na mataifa kibao yanayomsaidia Israel lakini hakuna wanachofanikisha.

Pro mashog,a huu sio wakati wa kuendelea kudanganywa na Marekani ni wakati wa kutumia akili ulizojaaliwa kuchanganua mambo.
Hii ni calculated mission kuharibu vinu vya iran sio vita mkuu.
 
Back
Top Bottom