LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
islamic ilijiinua sana na kujiona imechukua pahala pa ukomunisti, sasa nao unasambaratishwaUkiielewa western power wala huumizi kichwa mwisho wake utakuaje.
Hapo ni kuusambalatisha kabisa utawala wa islamic ndio lengo kuu.
Au ubaki ila uwe ni wamapuppets wa western
Hizo ndio option kuu mbili alizonazo muirani.