Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.

In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.

The president's full post reads:

View attachment 3378447
Yani umepiga af una tangaza amani😂😂😂
 
Ngoja tuone majibu ya Iran baada ya kipigo cha US. Hapo middle east panaweza kuwaka moto pote ikiwa Iran itaamua kushambulia vituo vya kijeshi vya US vilivyopo middle east.

Israel ni laana katika hii dunia.
 
Iran hatakiwi kuwa na nyuklia kwa mujibu wa nani?

Na Israel na Marekani wao wanazo hizo nyuklia.

Nani aliwapa wao ruhusa za kuwa nazo hizo silaha?
Mbona Pakistan anayo na hakuna shida? Kwa kifupi n kua hakuna mjinga anepaswa kua na hizo silaha
 
The goal is to demolishe the infrastructures, site zilizopigwa zilikua kwaajil ya uranium conversion facility and other nuclear infrastructure, sio kwamba zilikua zinahifadhiwa active nuclear weapons, hapana
🤣🤣🤣Kazi unaendelea
 
Hotuba ya Trump imekaa kiuongo uongo sana,yamkini hakuna chochote walichofanya so far sijaona hata video inayoonesha hilo tukio.
Ngoja tujipe muda tutajua tu.
Hizo ni calculated classified mission mzee sio kila video utaiona,wanazo wao pentagon
 
Mbona Pakistan anayo na hakuna shida? Kwa kifupi n kua hakuna mjinga anepaswa kua na hizo silaha
Ukiwa nazo tayari hakuna atayekusumbua.

Ukiwa bado huna ndo utanyanyaswa.

Iran haina jinsi sasa. Wajitoe NPT na waunde bomu lao.
 
Mi nilijua tuu, huu ni mchezo ili Iran apigwe. Hapa bado maisha ya Ayatolah tuu ndio patatulia.
Pia watavuruga Aman ya Iran waanze kupigana wao kwa wao.

U.S kwa fitna hajambo.
 
Hizo ni calculated classified mission mzee sio kila video utaiona,wanazo wao pentagon
Unajua pro Iran/hamas/Hezbollah wa bonyokwa hua wanadhani kila security detail attacks unaweza kukipata kwa urahisi sana wakiwa wamekalisha mapumbu somewhere in their gaddem houses
 
Shida hapo Iran wala sio nuclear wanajua kabisa kuwa Iran hana nuclear bomb. Shida ya Iran ni huo uongozi wao, wanataka wawaondoe hao viongozi wawaweke viongozi wanao wataka wao.

Israel, USA na nchi za Ulaya ndio wanaamua nani awe kiongozi hapo middle east. Na huyo kiongozi anapewa masharti ili adumu anatakiwa awe rafiki wa Israel na US na ni mwiko kulaani US na Israel. Na pia hao viongozi wanatoa rasilimali zao kwa US.

Na ndio mana unaona hao viongozi wote wa nchi za waarabu wapo kimya hao ni wanafiki na wanafuata masharti waliyopewa sababu wakileta mdomo wanaondolewa.

Hata Iran alikuwa hivyo kabla ya mapinduzi ya 1979 ila baada ya hapo Iran imejinasua na huo upuuzi wa kuwa chawa wa US na Israel na imekuwa mwiba kwao. Sasa hii vita nia yao ni kuwaondoa viongozi kama walivyo fanya Iraq na Libya. Hii nuclear ni propaganda tu. Ngoja tuone kama watafanikiwa.
 
Ulishawah kuona Iran akipinga Hana nuclear?
 
Unajua pro Iran/hamas/Hezbollah wa bonyokwa hua wanadhani kila security detail attacks unaweza kukipata kwa urahisi sana wakiwa wamekalisha mapumbu somewhere in their gaddem houses
Wanadhani ni movie ya Rambo😂
 
Back
Top Bottom