Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Kama utaendelea na ushamba wako nitakujibu ..Hapo ni Tel Aviv Asubuhi
Hizo vumbi kwenye miguu zinakupa picha ni watu gani.
1000101468.jpg
 
Iran ilichelewa sana kusoma alama za nyakati.

Israel katandika proxies zote za Iran zilizo Palestine, Syrian, Lebanon na Yemen ili kupungiza tishio, then kamuanza Iran mwenyewe kwa kupiga mifumo na miundombinu ya kijeshi na baada ya kumaliza na hiyo Fordow .... sasa wanaingia mtaan kuchinja kuku wawili watatu na kuyia hadara kidogo za uwekezaji mkubwa then wawaache Iran waaanze vikao na matamko
Alikuwa anajua vizuri kama anawindwa ola naamini kiko kitu anajivunia mpaka sasa maana bado kashambulia Israel na kasema US jibu lake linakuja inapokuwa inaonekana moja ya nchi ambayo viwanda vyake vya nuclear viko safe zaidi basi ni Iran maana licha ya shambulizi ilo ila bado vinaweza kutumika baada ya marekebesho machache.
 
Ila Israel kaweza peleka ndege na kupiga kila siku.
Hadi uone B2 imeingia Iran maana yake anga lote li salama
Hata yeye anatandikwa tu, kumbuka muajeni hana support kivile ila muisrael anasaidiwa na swahiba wake 🇺🇸.

Ajabu mnaona Iran kuwa tishio na mnaishambulia, ila N. Korea hamuwezi hata kuwagusa na wana nuclear weapons kama Iran.
 
Iran haina hata mabomu ya sumu wapige huko jerusale Tel aviv huko Haifank. We project za mabilioni ya $ zinaharibiwa ******* kama mtu anavunja chungu!! Mamake tukose wote. Iran mwaga sumu pale hawa mbwa wafe kama kunguni waliopuliziwa sumu.
Russia nao ni ******* wengine. Kwa % nyingi ndio wamewasaidia Iran kuweza kujenga hivyo vinu. Haswa katika eneo la utaalamu. Ndio maana Putin anasema ana watu wake 200 plae wanaendelea na kazi. Sasa hii ni nini. Kwa nini USA na Israel hawakuwazuia tanhu mwanzo kuanza hij miradi wanasubiri mpaka inakamilkka ndio wanaiharibu?
Iran mna deni na sisi wairan wa bongo.
 
Ngoja tuone majibu ya Iran baada ya kipigo cha US. Hapo middle east panaweza kuwaka moto pote ikiwa Iran itaamua kushambulia vituo vya kijeshi vya US vilivyopo middle east.

Israel ni laana katika hii dunia.
Atapewa kipigo kisicho simuliwa
 
Iran haikuwa na Nuclear ni basi Tu wameionea.
Dunia ndivyo ilivyo.Ukiwa mnyonge wanaweza kukufanya chochote.Iraq iliwai kuvamiwa na marekani wakamuua sadam hussein wakimtuhumu kua na Nuclear.Inawezekana zinatafutwa sababu zakumuangamiza muiran.
 
Marekani na Waisraeli ni wajinga badala ya kupiga pia Miji ya Iran kama Iran inavyopiga makazi ya Raia Israel, hao Iran hawawezi kusalimu amri wasipoumizwa, unafuata sheria wkt unapigana na magaidi wasiokuwa na huruma na wewe kisa ni myahudi au mkristo.
 
Marekani na Waisraeli ni wajinga badala ya kupiga pia Miji ya Iran kama Iran inavyopiga makazi ya Raia Israel, hao Iran hawawezi kusalimu amri wasipoumizwa, unafuata sheria wkt unapigana na magaidi wasiokuwa na huruma na wewe kisa ni myahudi au mkristo.
Us na Israel wakishambulia raia, hii itaamsha hasira na huruma dunia nzima.
Hii itawaweka hatarini raia wao popote walipo duniani.

Na hii inawafanya baadhi ya Wa iran walio kinyume na uongozi wa Iran kuwaunga mkono Us na Israel ili kuuangusha utawala wa Mapinduzi ya Kiislam.

Hawa magaidi hawana muda mrefu kuichia Iran, ndio maana utawala uliopinduliwa umeshaanza kujiandaa kurudi kuchukua nafasi yao waliyoipoteza walipopinduliwa
 
Back
Top Bottom