Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Watakuja kukwambia chanzo cha taarifa hii ni "Trust me even it's just a lying"Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.
In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.
The president's full post reads:
Dogo tulia, Ayatollah ni classmate wangu...Dogo WA Gaza umeamua kutoa picha ya Michael Jackson akiwa mdogo Na kuweka ya Ayatollah?
Yani huenda italeta ww3. Ngoja niende kulala. Nikiamka ntakutana na kina gTurn gallow bird Adiosamigo dem boy green rajab na dogo adriz yameamkaDuuh hizi mambo mbona kama zinaenda kuleta WW3 .
Bila kumsahau kimsboy🏃🏃Yani huenda italeta ww3. Ngoja niende kulala. Nikiamka ntakutana na kina gTurn gallow bird Adiosamigo dem boy na dogo adriz yameamka
Mmmh ili Jambo siyo jepesi Kama watu walivyokuwa wanaleta ushabiki wa kijinga. Kilikuwa na maswali mengi wenye akili kujiukiza. Iweje Israel wajiamini mpaka waanze kushambulia nchi Kama Iran ambayo Ina nguvu kijeshi. Israel imejiamini nini?.Sasa hivi zimepita saa 24 tangu Iran iliporusha makombora ya mwisho kuelekea Israel.
Tangu wakati huo, kumekuwa na tahadhari za mara kwa mara za UAV (ndege zisizo na rubani), lakini si za kiwango kikubwa. Wakati huo huo, Israel inaendelea kushambulia maeneo mbalimbali ndani ya Iran.
Yani mangi ana propaganda za kitoto Sana.Bila kumsahau kimsboy🏃🏃
Midomo ya watu na wao kutokukana hizo habariIran haikuwa na Nuclear ni basi Tu wameionea.
Tuachie sisi Wa-Iran toka Bunda tuwanyooshe USA na Israel, tuliwasubiri siku nyingi sana waingie kwenye 18 zetu.Duuh hizi mambo mbona kama zinaenda kuleta WW3 .
Ina ipi kijeshi zaidi ya mikwala tu ?Mmmh ili Jambo siyo jepesi Kama watu walivyokuwa wanaleta ushabiki wa kijinga. Kilikuwa na maswali mengi wenye akili kujiukiza. Iweje Israel wajiamini mpaka waanze kushambulia nchi Kama Iran ambayo Ina nguvu kijeshi. Israel imejiamini nini?.
Haaahaa 😆 nimeenda kwenye Uzi wake Bado amelala.Yani mangi ana propaganda za kitoto Sana.
Mkuu Russia na USA ukiwaangalia kwenye jicho la akili kubwa utagundua ni kitu kimoja. Angalia trump alipomlazimisha rais wa Ukraine kukubalia na matakwa ya Russia baada ya trump kuzungumza na Putin. Toka vita imeanza ulisikia Putin anailaani Israel iwe kwa Irani Syria Lebanon au gaza?. Wazungu wanacheza michezo ya akili public Kama Wana mizozo na kutokuekewana kwa Siri wanagonga cheazi na glass za mvinyo.Tusubiri majibu ya mpambe wake Russia, maana kobazi wanaamini katika maneno .
Mikwala kama SADDAM ALIKUTWA KWENYE MTAROO.Ina ipi kijeshi zaidi ya mikwala tu ?
Kwa kike wakiojiaminisha nacho ndicho kilichoketa mikwala yao. Tutaifuta IsraelIna ipi kijeshi zaidi ya mikwala tu ?
Majemedari wa Iran wakatia mkwala kua WAMEFUNGULIA MILANGO YA KUZIMU😁Kwa kike wakiojiaminisha nacho ndicho kilichoketa mikwala yao. Tutaifuta Israel
Kisu kwenye mfupa 🤣Sasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? 🤣🤣