Hata sijasema US ni masikini wala kuilinganisha na nchi yeyote ile, mie nimeizungumzia US kama US kwamba kuna vitu huwezi kuamini kama kweli kwenye maisha halisi vitu hivyo vipo huko US.So unafikiri ni masikini kama Tanzania?
Mazuri yote tunayoelezwa ya huko US kuanzia aina ya utawala hadi maendeleo inaelekea kuna watu wanavumilia manyanyaso/kukosekana haki na kuishi maisha magumu hali ya kuwa nchi yao Inasifika kwa mazuri.
Kwani wewe huwa unadhani Marekani ni perfect society?Hata sijasema US ni masikini wala kuilinganisha na nchi yeyote ile, mie nimeizungumzia US kama US kwamba kuna vitu huwezi kuamini kama kweli kwenye maisha halisi vitu hivyo vipo huko US.
Chadema wanasema na Pompeo wao mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]USA ina demokrasia ya ndimi mbili
Wanafk wakubwa wale
nani kasema huo upupu MKUU ?!Marekani alikuwa mkoloni wa Tanzania mwaka gani?
Minnesota kuna Ms13 hawajamaa ni kama hapa ni new territory yao ndio wanafanya huo uhalifu.Hata sijasema US ni masikini wala kuilinganisha na nchi yeyote ile, mie nimeizungumzia US kama US kwamba kuna vitu huwezi kuamini kama kweli kwenye maisha halisi vitu hivyo vipo huko US.
hakika.....Hakuna Cha kigogo,mange wala mbweha yeyote yule atakae ongea hata wale wa peoples husikii kabisa
Sera ya democracy ilikuja kudhoofisha mataifa mengne yasikuwe kiuchumi
Swali limeulizwa kuhusu ujinga wa Tanzania ukajibu aliyeupandikiza ni Mmarekani sasa najiuliza lini Marekani kaitawala Tanzania au hata nchi moja tu ya Africa sipati jibu.nani kasema huo upupu MKUU ?!
Sent using My COVID-19
Nani kasema wanaenda kuuliwa watu ,!Trump haja activate National Guard kwenda kuua watu.
Ghasia sio demokrasia.
Acheni uzushi.
Kama kuna mpumbavu mkubwa kabisa anaeona ghasia ni demokrasia nihuyo mnaemuona baba wadunia US kila sehem ambayo anaona maslahi yake yapo hatatini akisikia watu wanaandamana ataunga mkono kwakigezo chamaandamano mbna hampigi kelele angalia HONGKONG rudi nyuma kaangalie IRAN halaf ukimaliza hapo angalia anavyoyakataa maandamano ya KATALUNYA wanaotaka kujitenga na UHISPANIAKuna wapumbavu humu wanaona ghasia ndo demokrasia.
Pumba tupu.Nani kasema wanaenda kuuliwa watu ,!
Na hata hao watu kuuliwa kwan wanashindwa pia ?!
Kama walimuua mtu ambe hakua nasilaha wala hakuhatarisha maisha yao wanashindwaje kuuwa wanao andamana ?!
Ndio wajue sasa kama hata zile zinazokua zinafanyika HONG KONG nighasia nasio maandamano ila wanayaunga mkono kwa asilimia 100 nawanaacha kuyaunga mkono Maandamano ya WAKATALUNYA
states waache UNAFIQ wawe wanasimamia jambo kihaki pia waache UBAGUZI uone kama watayashuhudia haya wanayoyashuhudia leo hizo fujo unazozishuhudia nimatokeo yaubaguzi wao sio huu ulotokea hapa majuzi tu watu wamekusanya hasira nahasira wakitafta pakutokea leo wamezipata
wakinukishe mpaka waheshimiwe pumbaf sana US wabaguzi.....
Sent using My COVID-19
sijui nitumie lugha gani ila kama nitatumia lugha yakukukwaza naomba unisamehe MKUU sinalengo lakukukwazaSiyo kwamba hawajui tofauti, ila wanataka kutumia maandamano haya yenye dalili zote za uvunjifu wa sheria kuhalalisha ukatili wa kidikteta wa serikali yao. Leo wapinga maandamano ya amani wamegeuka watetezi wa maandamano ya vurugu, huoni maajabu hapo?
ukweli mtupu uloongea US nchimoja yakimafia sanaMazuri yote tunayoelezwa ya huko US kuanzia aina ya utawala hadi maendeleo inaelekea kuna watu wanavumilia manyanyaso/kukosekana haki na kuishi maisha magumu hali ya kuwa nchi yao Inasifika kwa mazuri.
Nenda ka google maana ya ukoloni mambo leo halaf ukiupata uje tena MKUU.Swali limeulizwa kuhusu ujinga wa Tanzania ukajibu aliyeupandikiza ni Mmarekani sasa najiuliza lini Marekani kaitawala Tanzania au hata nchi moja tu ya Africa sipati jibu.
.
Chuki humchoma anayeihifadhi
Kwa jinsi watu wanavyoielezea US unaweza kudhani ni perfect society, kiasi kuna mambo huwezi kufikiri kama pia yapo US hasa kwa kuwa US ndio huonekana mfano mwema kwe nye utawala na maendeleo.Kuna perfect society hapa duniani?
tukiongozwa na wewe MKUUPumba tupu.
Rejea kichwa cha mada.
Mazuzu mko wengi mno humu.
sio perfect tu MKUU unaweza ukahisi ipo PEPONI kabisaKwa jinsi watu wanavyoielezea US unaweza kudhani ni perfect society, kiasi kuna mambo huwezi kufikiri kama pia yapo US.
Mtu atakwambia hakuna perfect society ila ukianza kueleza mapungufu ya US anaanza kukushambulia.sio perfect tu MKUU unaweza ukahisi ipo PEPONI kabisa
US asee !!!
Sent using My COVID-19
Kwa jinsi watu wanavyoielezea US unaweza kudhani ni perfect society, kiasi kuna mambo huwezi kufikiri kama pia yapo US hasa kwa kuwa US ndio huonekana mfano mwema kwe nye utawala na maendeleo.
nashangaa asee [emoji23][emoji23][emoji23]Mtu atakwambia hakuna perfect society ila ukianza kueleza mapungufu ya US anaanza kukushambulia.