Trump na Marekani yake si wanademokrasia wafuate haki za binadamu wasiue Watu kwa kutumia jeshi

Trump na Marekani yake si wanademokrasia wafuate haki za binadamu wasiue Watu kwa kutumia jeshi

So unafikiri ni masikini kama Tanzania?
Hata sijasema US ni masikini wala kuilinganisha na nchi yeyote ile, mie nimeizungumzia US kama US kwamba kuna vitu huwezi kuamini kama kweli kwenye maisha halisi vitu hivyo vipo huko US.
 
Mazuri yote tunayoelezwa ya huko US kuanzia aina ya utawala hadi maendeleo inaelekea kuna watu wanavumilia manyanyaso/kukosekana haki na kuishi maisha magumu hali ya kuwa nchi yao Inasifika kwa mazuri.

Kuna perfect society hapa duniani?
 
Hata sijasema US ni masikini wala kuilinganisha na nchi yeyote ile, mie nimeizungumzia US kama US kwamba kuna vitu huwezi kuamini kama kweli kwenye maisha halisi vitu hivyo vipo huko US.
Kwani wewe huwa unadhani Marekani ni perfect society?
 
Hata sijasema US ni masikini wala kuilinganisha na nchi yeyote ile, mie nimeizungumzia US kama US kwamba kuna vitu huwezi kuamini kama kweli kwenye maisha halisi vitu hivyo vipo huko US.
Minnesota kuna Ms13 hawajamaa ni kama hapa ni new territory yao ndio wanafanya huo uhalifu.
.
Wanaua wanawake kwa watoto they shoot em in front of their doors and windows!
 
Sera ya democracy ilikuja kudhoofisha mataifa mengne yasikuwe kiuchumi
Hakuna Cha kigogo,mange wala mbweha yeyote yule atakae ongea hata wale wa peoples husikii kabisa

Sera ya democracy ilikuja kudhoofisha mataifa mengne yasikuwe kiuchumi
hakika.....

Sent using My COVID-19
 
nani kasema huo upupu MKUU ?!

Sent using My COVID-19
Swali limeulizwa kuhusu ujinga wa Tanzania ukajibu aliyeupandikiza ni Mmarekani sasa najiuliza lini Marekani kaitawala Tanzania au hata nchi moja tu ya Africa sipati jibu.
.
Chuki humchoma anayeihifadhi
 
Trump haja activate National Guard kwenda kuua watu.

Ghasia sio demokrasia.

Acheni uzushi.
Nani kasema wanaenda kuuliwa watu ,!
Na hata hao watu kuuliwa kwan wanashindwa pia ?!

Kama walimuua mtu ambe hakua nasilaha wala hakuhatarisha maisha yao wanashindwaje kuuwa wanao andamana ?!

Ndio wajue sasa kama hata zile zinazokua zinafanyika HONG KONG nighasia nasio maandamano ila wanayaunga mkono kwa asilimia 100 nawanaacha kuyaunga mkono Maandamano ya WAKATALUNYA

states waache UNAFIQ wawe wanasimamia jambo kihaki pia waache UBAGUZI uone kama watayashuhudia haya wanayoyashuhudia leo hizo fujo unazozishuhudia nimatokeo yaubaguzi wao sio huu ulotokea hapa majuzi tu watu wamekusanya hasira nahasira wakitafta pakutokea leo wamezipata

wakinukishe mpaka waheshimiwe pumbaf sana US wabaguzi.....

Sent using My COVID-19
 
Kuna wapumbavu humu wanaona ghasia ndo demokrasia.
Kama kuna mpumbavu mkubwa kabisa anaeona ghasia ni demokrasia nihuyo mnaemuona baba wadunia US kila sehem ambayo anaona maslahi yake yapo hatatini akisikia watu wanaandamana ataunga mkono kwakigezo chamaandamano mbna hampigi kelele angalia HONGKONG rudi nyuma kaangalie IRAN halaf ukimaliza hapo angalia anavyoyakataa maandamano ya KATALUNYA wanaotaka kujitenga na UHISPANIA

Us Wabaguzi nawavunjaji wakubwa wahaki zabina adamu nawavunjaji wakubwa wawanayoiita demokrasia

:-sijawahi kua nachama nawala sijawahi kuwaza kuwa mwanachama wachama fulani.....

Sent using My COVID-19
 
Nani kasema wanaenda kuuliwa watu ,!
Na hata hao watu kuuliwa kwan wanashindwa pia ?!

Kama walimuua mtu ambe hakua nasilaha wala hakuhatarisha maisha yao wanashindwaje kuuwa wanao andamana ?!

Ndio wajue sasa kama hata zile zinazokua zinafanyika HONG KONG nighasia nasio maandamano ila wanayaunga mkono kwa asilimia 100 nawanaacha kuyaunga mkono Maandamano ya WAKATALUNYA

states waache UNAFIQ wawe wanasimamia jambo kihaki pia waache UBAGUZI uone kama watayashuhudia haya wanayoyashuhudia leo hizo fujo unazozishuhudia nimatokeo yaubaguzi wao sio huu ulotokea hapa majuzi tu watu wamekusanya hasira nahasira wakitafta pakutokea leo wamezipata

wakinukishe mpaka waheshimiwe pumbaf sana US wabaguzi.....

Sent using My COVID-19
Pumba tupu.

Rejea kichwa cha mada.

Mazuzu mko wengi mno humu.
 
Siyo kwamba hawajui tofauti, ila wanataka kutumia maandamano haya yenye dalili zote za uvunjifu wa sheria kuhalalisha ukatili wa kidikteta wa serikali yao. Leo wapinga maandamano ya amani wamegeuka watetezi wa maandamano ya vurugu, huoni maajabu hapo?
sijui nitumie lugha gani ila kama nitatumia lugha yakukukwaza naomba unisamehe MKUU sinalengo lakukukwaza

Ila kudhania kwamba kila anaetetea hayo maandamano ya US anaunga mkono chama fulani chasiasa katika taifa fulani ni UPUMBAVU ULIOTOPEA(SAMAHANI SANA MKUU KWAHIO KAULI HAPO)

Sent using My COVID-19
 
Mazuri yote tunayoelezwa ya huko US kuanzia aina ya utawala hadi maendeleo inaelekea kuna watu wanavumilia manyanyaso/kukosekana haki na kuishi maisha magumu hali ya kuwa nchi yao Inasifika kwa mazuri.
ukweli mtupu uloongea US nchimoja yakimafia sana

Mauaji kama kula tu pale

Wengi wanamaisha mazuri ila kulinganisha nauwingi wao na ukwasi wao walonao maskini niwengi sana tena maskini kweli kweli

US ukiwa tajiri utaishi kama upo peponi mzee.....

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali limeulizwa kuhusu ujinga wa Tanzania ukajibu aliyeupandikiza ni Mmarekani sasa najiuliza lini Marekani kaitawala Tanzania au hata nchi moja tu ya Africa sipati jibu.
.
Chuki humchoma anayeihifadhi
Nenda ka google maana ya ukoloni mambo leo halaf ukiupata uje tena MKUU.

Sent using My COVID-19
 
Kuna perfect society hapa duniani?
Kwa jinsi watu wanavyoielezea US unaweza kudhani ni perfect society, kiasi kuna mambo huwezi kufikiri kama pia yapo US hasa kwa kuwa US ndio huonekana mfano mwema kwe nye utawala na maendeleo.
 
Pumba tupu.

Rejea kichwa cha mada.

Mazuzu mko wengi mno humu.
tukiongozwa na wewe MKUU

Ila samahani kama nimekukwaza maana hua sipendi kum attack mtoa mada hua napenda kui attack mada husika

Ila naanza kuiona level yako yauelewa MKUU pole sana...

Sent using My COVID-19
 
Kwa jinsi watu wanavyoielezea US unaweza kudhani ni perfect society, kiasi kuna mambo huwezi kufikiri kama pia yapo US.
sio perfect tu MKUU unaweza ukahisi ipo PEPONI kabisa

US asee !!!

Sent using My COVID-19
 
Kwa jinsi watu wanavyoielezea US unaweza kudhani ni perfect society, kiasi kuna mambo huwezi kufikiri kama pia yapo US hasa kwa kuwa US ndio huonekana mfano mwema kwe nye utawala na maendeleo.

Nani anasemaga perfect society?
 
Mtu atakwambia hakuna perfect society ila ukianza kueleza mapungufu ya US anaanza kukushambulia.
nashangaa asee [emoji23][emoji23][emoji23]

siupendi umaskini unaoikumba afrika ila kama wanaelewa kama hakuna perfect society basi wasiwalaumu waafrika kwakua maskini eti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom