Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Au ulikuwa mtoto ama hujazaliwa, mtikila na sera zake za gabachoriNi maandamano gani yamefanyika Tanzania ambayo waandamanaji wanavunja supermarket na kuiba vitu, uko sio kuandamana hizo ni vurugu.
Tumieni akili mnapotaka kulinganisha vitu
Mkuu haya ni mataahira hayawezi kuelewa.Ni maandamano gani yamefanyika Tanzania ambayo waandamanaji wanavunja supermarket na kuiba vitu, uko sio kuandamana hizo ni vurugu.
Tumieni akili mnapotaka kulinganisha vitu
Wakikaza miezi 6 wewe uktakosa dawa ya arv unayotumia. Malaria itaua ndugu zako wote kule kijijini.wanachungulia tunakupita mbio[emoji16][emoji16][emoji16]
natamani jamaa wakaze kaze walau miezi misita hivi
najua baada yahapo tutaongea lugha nzuri kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna heshima utapata. Sisi Tanzania ndio tutakufa kwa malaria, wewe arv unazotumia zitaacha kuja utakufa, klitakachofuata ni vifo mfululizo. Watu milioni 2 wenye hiv hapa bongo mtakufa wote.Haya maandamano nayo natamani yadumu miezi kama minne hv kama ilivyodumu coronya-19 ili tupate kuheshimiana hapa DUNIANI.....
Hawasemi ni perfect ila wanaielezea kama kitu kilicho perfect, yani huwezi kufikiri huko US nako watu wana ugumu wa maisha kiasi cha kwenda kufanya wizi kuvunja wa kuvunja maduka ya watu na kuiba nepi na mito. Kwamba huko Us kuna jamii fulani ya watu huona hawatendewi haki.Nani anasemaga perfect society?
Duh! Kwa hali hiyo itabidi Tz ianze kuwa inaomba misaada na sehemu nyengine maana naona Tz inaishi kwa misaada ya US tu.Wakikaza miezi 6 wewe uktakosa dawa ya arv unayotumia. Malaria itaua ndugu zako wote kule kijijini.
Wagonjwa hospitalini watakufa kwa kukosa madawa na vifaa tiba.
Mikopo na misaada itakata. Matokeo yake wewe utakufa na nchi hii itakufa njaa.
Hawasemi ni perfect ila wanaielezea kama kitu kilicho perfect, yani huwezi kufikiri huko US nako watu wana ugumu wa maisha kiasi cha kwenda kufanya wizi kuvunja wa kuvunja maduka ya watu na kuiba nepi na mito. Kwamba huko Us kuna jamii fulani ya watu huona hawatendewi haki.
USA ndio biggest development partner nchi hii toka imepata uhuru.Duh! Kwa hali hiyo itabidi Tz ianze kuwa inaomba misaada na sehemu nyengine maana naona Tz inaishi kwa misaada ya US tu.
USA ndio biggest development partner nchi hii toka imepata uhuru.
USA ndie anasababisha sehemu kubwa ya foreign currency tunayopata kwa utalii, analeta zaidi ya 15% ya watalii wanaotembelea Tanzania.
Ukiachia mbali technical and social support anayotoa kwenye taasisi zetu mbali mbali.
Mabadiliko makubwa yanayofanyika kwenye mahakama zetu, mobile court, law reforms, digital court na kadhalika anatoa ufadhili Marekani.
Mafunzo ya kijeshi na msaada wa jeshi letu hata juzi hapa walituletea msaada wa fifaa vya kisasa na mafunzo ya wanajeshi wetu yote anatoa Marekani.
Leo mtu umekula ugali utumbo una bando la 1000 huko kwenu Bwanga Chato unasema unatamani maandamano ya wahuni wezi na vibaka yaendelee Marekani kwa miezi 6, hujui kama utakaekufa wa kwanza ni wewe.
kwahio ukiwa huna TB na AIDS utaishi milele wacha tufe tuHakuna heshima utapata. Sisi Tanzania ndio tutakufa kwa malaria, wewe arv unazotumia zitaacha kuja utakufa, klitakachofuata ni vifo mfululizo. Watu milioni 2 wenye hiv hapa bongo mtakufa wote.
Malaria itamaliza watu. Tb itamaliza watu.
Marekani hata kama huwapendi wao ndio waasababisha bado unaendelea kuishi kwa kukupatia arv.
Duh! Kwa hali hiyo itabidi Tz ianze kuwa inaomba misaada na sehemu nyengine maana naona Tz inaishi kwa misaada ya US tu.
wacha tufe ndio mwisho wakila mwana adamu huo....Wakikaza miezi 6 wewe uktakosa dawa ya arv unayotumia. Malaria itaua ndugu zako wote kule kijijini.
Wagonjwa hospitalini watakufa kwa kukosa madawa na vifaa tiba.
Mikopo na misaada itakata. Matokeo yake wewe utakufa na nchi hii itakufa njaa.
KabisaHawasemi ni perfect ila wanaielezea kama kitu kilicho perfect, yani huwezi kufikiri huko US nako watu wana ugumu wa maisha kiasi cha kwenda kufanya wizi kuvunja wa kuvunja maduka ya watu na kuiba nepi na mito. Kwamba huko Us kuna jamii fulani ya watu huona hawatendewi haki.
sawa tutakubaliana nahali ngumu ila wacha watu waandamane tu walau miezi sita kwanza halaf tuone itakaaje[emoji91][emoji91][emoji91]USA ndio biggest development partner nchi hii toka imepata uhuru.
USA ndie anasababisha sehemu kubwa ya foreign currency tunayopata kwa utalii, analeta zaidi ya 15% ya watalii wanaotembelea Tanzania.
Ukiachia mbali technical and social support anayotoa kwenye taasisi zetu mbali mbali.
Mabadiliko makubwa yanayofanyika kwenye mahakama zetu, mobile court, law reforms, digital court na kadhalika anatoa ufadhili Marekani.
Mafunzo ya kijeshi na msaada wa jeshi letu hata juzi hapa walituletea msaada wa fifaa vya kisasa na mafunzo ya wanajeshi wetu yote anatoa Marekani.
Leo mtu umekula ugali utumbo una bando la 1000 huko kwenu Bwanga Chato unasema unatamani maandamano ya wahuni wezi na vibaka yaendelee Marekani kwa miezi 6, hujui kama utakaekufa wa kwanza ni wewe.
Sijui kwanini watu wanaamini kuwa ile ni misaada!USA ni wezi wa kisasa, hiyo misaada ni njama tu za kutunyonya. There is no free lunch!
Aisee! Kwahiyo US ikiingia kwenye maandano kwa miezi 6 sie Tz tunakufa? Sikujua kama Marekani ndio kila kitu kwetu na kwamba wanamsaada mkubwa kiasi wakikatisha tunakuwa hatarini kiasi hicho.USA ndio biggest development partner nchi hii toka imepata uhuru.
USA ndie anasababisha sehemu kubwa ya foreign currency tunayopata kwa utalii, analeta zaidi ya 15% ya watalii wanaotembelea Tanzania.
Ukiachia mbali technical and social support anayotoa kwenye taasisi zetu mbali mbali.
Mabadiliko makubwa yanayofanyika kwenye mahakama zetu, mobile court, law reforms, digital court na kadhalika anatoa ufadhili Marekani.
Mafunzo ya kijeshi na msaada wa jeshi letu hata juzi hapa walituletea msaada wa fifaa vya kisasa na mafunzo ya wanajeshi wetu yote anatoa Marekani.
Leo mtu umekula ugali utumbo una bando la 1000 huko kwenu Bwanga Chato unasema unatamani maandamano ya wahuni wezi na vibaka yaendelee Marekani kwa miezi 6, hujui kama utakaekufa wa kwanza ni wewe.
Ajabu pamoja ya kutuaminisha kwamba hatuwezi kuishi bila ya hiyo wanayoita misaada yao ila bado hawataki tujitegemee wenyewe.sawa tutakubaliana nahali ngumu ila wacha watu waandamane tu walau miezi sita kwanza halaf tuone itakaaje[emoji91][emoji91][emoji91]