Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Au ulikuwa mtoto ama hujazaliwa, mtikila na sera zake za gabachoriNi maandamano gani yamefanyika Tanzania ambayo waandamanaji wanavunja supermarket na kuiba vitu, uko sio kuandamana hizo ni vurugu.
Tumieni akili mnapotaka kulinganisha vitu
kutokea jangwani kuelekea ikulu jioni ile hakuna rangi maduka yao waliacha kuona..
vijana walitiririka vibaya..
ila mwisho wao ulikuwa IFM pale