Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Mimi nawapenda sana Tena sana wanazid kunipa kunguvu ya kupambana mwenyez Mungu amekua mbele kwenye ridhiki zangu basi nawaona wanaumia mno nawaombea maisha marefu
 
Kama ni mtu wa Dini,rafiki mwema ni Mungu pekee,kwa wakristo Yesu ndie rafiki mwema!wapi wenye Roho Safi,kuwapata ni kipengere,Ishi na watu kwa hekima na Heshima ,kuwa makini na maneno na Matendo pia!
 
Ndio upungufu uliopo Kwa binadamu ndio ubinadamu wenyewe huo.
 
Eti trust no one, unajidanganya;
1. Unapanda ndege hata hujui rubani ni nani na anafananaje..!!
2. Unapanda bodaboda hujui kama ana leseni au la..!!
3. Unafnyiwa operesheni na daktari usiyemjua..!!
4. Unakula chakula kwa kumuamini aliyepika hajaweka sumu
5. Unapanda boti hata humjui anayeliendesha
etc
 
Kuna Jambo gani tenah limekusibu mkuu
 
kiukweli binadamu ni watu wa ajabu sana

Kuna jamaa yangu kwanza tumekutana ukubwani,yeye ndo alianza kuleta ukaribu kwangu,mwisho tukawa marafiki

Lakin cha ajabu akaanza kutokupenda maisha yangu akanitafutia demu mkali sana akaniunganisha nae nikaanza kutumia demu akatokea kunielewa sana,jamaa akaanza kuwa anammaindi demu,yaan kumbe alitaka demu aje kwangu kunichuna mpaka nifulie

Wakat tunaanza urafik mke wangu hakuwepo,wakat mke anarudi,jamaa akaanza kuwa karibu na mke wangu,jamaa akiwa na mke wangu akawa ananiponda sana mara ooo sijui kutumia vizur nafas nilizonazo mara mimi nimekuwa mtu wa wanawake tu

Mpaka leo bado ni washikaji ila yaan nashindwa kuelewa kwanini binadamu wanakuwa hivi
 
DR HAYA LAND
Leo despline yangu imefanya watu wastuke waanze kuwa na chuki binafsi

Nachukiwa sio na mtu mmoja ni whole Street et kisa nipo nduki kutafuta...

Kikawaida maisha ya uswahilini huwa wanapata furaha kubwa moyoni wanapoona unaishi Kama Selemani wa Mbosso khan, au Toto Idd wa Juma Nature

So unachofanya wewe kuwa na nidhamu na kudili na mambo yako lazima uibue mgogoro wa nafsi

Na wakikukosa katika rada zao watakutegea Mwanamke na hapo ndo itakuwa mwisho wako wa the rise and fall of Portuguese

So fanya hivi
Pray pray pray
Usitembee na KE kutoka the same street
Usiwe na mazoea na watoto wao wadogo
 
Kweli kabisa ndgu ni wazazi na watoto wako tuu..

Wivu huleta chuki na nimeona chuki wazi wazi..
Mpaka sasa naona. Chuki hvi ni mtu wa aina gani anafurahi mwenzake akikosa au akiwa na hali mbaya
Hapo utajidanganya ! kila binadamu ana tabia hizo(wivu na chuki) , watoto wako wafundishe jinsi ya kuishi na watu kwa vile tabia ni zile zile .

Hakuna sehemu hamna wivu wala chuki hii ni maana halisi ya changamoto na mapambano ya duniani , asiyekuonea wivu ni mbaya kwa kiasi fulani kwa sababu ananufaika na wewe moja kwa moja ;wazazi , familia yako.

Kuwa makini bora uteswe na umaskini wako ila sio mambo ya urafiki na binadamu utapoteza muda ..Hii ndiyo dunia kuna mengi mazito.
 
Daaaaaa dunia hiii sikia tuu nami same same nimepigwa makombora miaka zaidi 20......nisinyanyyke na ndugu karibuu kabisaaaa.....wa damuuuu
Watuwana roho mbaya sana..
Hivi kwanini tunatofautiana namna hii...

Kwanin mtu anakua na kinyongo mkuu mbona mimi na wewe hatuna..
 
Mkuu acha kabisa mtu unajarbu na kumsaidia kabisa kumbe ule msaada wako anaona kama unakosea anataka wote muwe chini..

Chuki za nini kama una chako na mimi nina changu aiseee..
Hii imeniuma sana sana sana an
 
Hujui usemacho. Marafiki wapo sema si wote ni wema. Angalia urafiki wa Samia na Makonda au ule wa Trump na Musk au wa Shetani na Mungu mwanangu.
Mkuu acha kabisa basi mimi nina bahati mbaya ya kukutana na marafiki wa hovyo aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…