Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #101
So fanya hiviKikawaida maisha ya uswahilini huwa wanapata furaha kubwa moyoni wanapoona unaishi Kama Selemani wa Mbosso khan, au Toto Idd wa Juma Nature
So unachofanya wewe kuwa na nidhamu na kudili na mambo yako lazima uibue mgogoro wa nafsi
Na wakikukosa katika rada zao watakutegea Mwanamke na hapo ndo itakuwa mwisho wako wa the rise and fall of Portuguese
So fanya hivi
Pray pray pray
Usitembee na KE kutoka the same street
Usiwe na mazoea na watoto wao wadogo
Mkuu tunapambana kutoka kwenye chain za umaskini kwa hali ngumu sana..Hapo utajidanganya ! kila binadamu ana tabia hizo(wivu na chuki) , watoto wako wafundishe jinsi ya kuishi na watu kwa vile tabia ni zile zile .
Hakuna sehemu hamna wivu wala chuki hii ni maana halisi ya changamoto na mapambano ya duniani , asiyekuonea wivu ni mbaya kwa kiasi fulani kwa sababu ananufaika na wewe moja kwa moja ;wazazi , familia yako.
Kuwa makini bora uteswe na umaskini wako ila sio mambo ya urafiki na binadamu utapoteza muda ..Hii ndiyo dunia kuna mengi mazito.
Ilikuaje mkuu...Hii umenikumbusha mbali nimelazimika kuhama mkoa na kubadili kituo Cha kazi.. rafiki yangu wa karibu why why anifanyie hivi
Ridhki mwanzo wa chuki
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa na jamaa kama rafiki wa kazini ,tulifanya mengi kimtindo kwa kushare fursa mbalimbali.Mkuu tunapambana kutoka kwenye chain za umaskini kwa hali ngumu sana..
Imagine tumezima location za ndgu wasijue tulipo lakini tunakutana na visanga vya marafiki.
Mtu anakupokea vzri ila kadri unapozidi kuwaka kuwa higher than him hapo anaanza kuleta vimbwanga..
Njia ya mafanikio ni despline na mtu hana hii na bado anataka muwe sawa seriously
Mkuu ni hatari kwa afya"Rafiki Mkia Wa Mbuzi,Mfupi Na Nyeti Wazi"
Uchwara tuuuNdio ndio
Daaah sasa unapambana nao vipi kama mtu anaanza kukudhuru kabisa mkuuMimi nawapenda sana Tena sana wanazid kunipa kunguvu ya kupambana mwenyez Mungu amekua mbele kwenye ridhiki zangu basi nawaona wanaumia mno nawaombea maisha marefu
Asante sana wa nyumbani....Kama ni mtu wa Dini,rafiki mwema ni Mungu pekee,kwa wakristo Yesu ndie rafiki mwema!wapi wenye Roho Safi,kuwapata ni kipengere,Ishi na watu kwa hekima na Heshima ,kuwa makini na maneno na Matendo pia!
Ahahaha daaahMimi mtu baki hapana,labda niliyekulia naye tangu mdogo ...Akitokea mkoa mwingine automatically ni mnafiki.
Kwanini wengine hawana sasaNdio upungufu uliopo Kwa binadamu ndio ubinadamu wenyewe huo.
Ishi nao kinafki ila usi waamini sanaNa ndugu je?
Ongea kity sasaNaunga hoja asilimia mia
Yaani ninavyokwambia mimi maisha yangu nilijitoa rehani kwa ajili ya kusaidia ndugu,yaani nilikuwa na ile mentality ya ujamaa kama ya mwalimu nyerere yaani mali yangu ni mali yetu wote,nikawa nimekula kiapo kuwainua ndugu iwe kielimu na kibiashara kuhusu mitaji lakini haikusaidia kitu kumbe wenzangu wana chuki zao moyoni mimi sijui nikawa najifariji tu vile tunavyocheka,wananipa moyo kinafki na matabasamu feki.Mkuu acha kabisa mtu unajarbu na kumsaidia kabisa kumbe ule msaada wako anaona kama unakosea anataka wote muwe chini..
Chuki za nini kama una chako na mimi nina changu aiseee..
Hii imeniuma sana sana sana an
Wee jamaa kuna kitu ujaelewa...Eti trust no one, unajidanganya;
1. Unapanda ndege hata hujui rubani ni nani na anafananaje..!!
2. Unapanda bodaboda hujui kama ana leseni au la..!!
3. Unafnyiwa operesheni na daktari usiyemjua..!!
4. Unakula chakula kwa kumuamini aliyepika hajaweka sumu
5. Unapanda boti hata humjui anayeliendesha
etc
Nachukiwa for nathingKuna Jambo gani tenah limekusibu mkuu
Black pipo are very complicatedNever trust a black man
Wana jau sana..Miaka kadhaa nyuma nilikuwa na jamaa kama rafiki wa kazini ,tulifanya mengi kimtindo kwa kushare fursa mbalimbali.
Jamaa kipind fulani kulikuwa na mchongo wa watu kadhaa kutemeshwa pale kazini ,jamaa alikuwa jikoni ila akanificha baadaye akapotea kama miezi miwili kumbe walipewa offer ya kuhama sehemu nyingine...Jamaa alinichunia hakuniambia mpaka ishu umebuma na wengi walishtuana wakaenda sehemu nzuri.
Mwana aliuchuna ila kawaida siamini mtu ambaye sikucheza naye udogoni never. Nilipata sehemu nzuri mpaka sasa ila jamaa alishindwa kunisanua mapema ,mchizi alianza ubinafsi alipooa tu .
Sikuumia najua ya kawaida ,ila alinichek nikamchana na tukaacha mawasiliano tangu siku hiyo almost miaka 5 sasa.
Naomba link ya Uzi wa Robert Heriel Mtibeli aliozungumzia kuzima Location.Mkuu tunapambana kutoka kwenye chain za umaskini kwa hali ngumu sana..
Imagine tumezima location za ndgu wasijue tulipo lakini tunakutana na visanga vya marafiki.
Mtu anakupokea vzri ila kadri unapozidi kuwaka kuwa higher than him hapo anaanza kuleta vimbwanga..
Njia ya mafanikio ni despline na mtu hana hii na bado anataka muwe sawa seriously