TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

Texas Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2022
Posts
730
Reaction score
1,848
Yes sir.

Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.

Fikiria hivi.

You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.

1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime, Msasani, baadhi ya sehemu Oysterbay depending on condition of the property etc. Au unaweza amua kuishi Mbezi beach for same amount unapata 3bedroom house in prime area.

Kwenye 6M inabaki 4.5M

2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food. Hiyo ni Tzs40,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.

Inabaki 3.3M

3. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000

Inabaki 2.9M

4. Water bills, electricity, internet,
miscellaneous household bills Tzs250,000

Inabaki 2.65M

5. Insurance + personal care Tzs150,000
Health insurance, gym na vitu vingine.

Inabaki 2.5M

6. Entertainment + lifestyle TSh 400K
Hapa ndipo una enjoy maisha 😁

Restaurants, weekend activities, dates, beach, short trips, hobbies, drinks occasionally etc.

Inabaki 2.1M

6M Tanzania inakupatia

🏠 Nyumba nzuri
🚗 Gari zuri
🍽️ Food nzuri
❤️ Relationship nzuri
🏖️ Weekend activities
✈️ Travel occasionally
💰 Na bado una save/invest TSh 24M+ kwa mwaka.
 
2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food few times a week. 1.8M kila mwezi. Hiyo ni Tzs4,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.

Ukiwaza hivyo,,,,,
kutoka labda uwe kibaka
 
Tajiri anawaza how to minimize costs,lakini maskini anawaza how to maximize expenditures, daah dunia hadaa Ulimwengu shujaa
 
sikupingi sana....

Umeenda mule mule ingawa tunaweza kupunguza kodi na hela ya kula kama huna familia... yani upo na GF utumie hela yote hiyo ukioa na ukiwa na familia si utahitaji ulipwe 15m?

Ada watoto?
Matibabu watoto
Dharura watoto

N.k
Kwa mtu unayelala kama panga chumba na sebule thats too much...
 
Yes sir.

Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.

Fikiria hivi.

You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.

1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime, Msasani, baadhi ya sehemu Oysterbay depending on condition of the property etc. Au unaweza amua kuishi Mbezi beach for same amount unapata 3bedroom house in prime area.

Kwenye 6M inabaki 4.5M

2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food. Hiyo ni Tzs40,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.

Inabaki 3.3M

3. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000

Inabaki 2.9M

4. Water bills, electricity, internet,
miscellaneous household bills Tzs250,000

Inabaki 2.65M

5. Insurance + personal care Tzs150,000
Health insurance, gym na vitu vingine.

Inabaki 2.5M

6. Entertainment + lifestyle TSh 400K
Hapa ndipo una enjoy maisha 😁

Restaurants, weekend activities, dates, beach, short trips, hobbies, drinks occasionally etc.

Inabaki 2.1M

6M Tanzania inakupatia

🏠 Nyumba nzuri
🚗 Gari zuri
🍽️ Food nzuri
❤️ Relationship nzuri
🏖️ Weekend activities
✈️ Travel occasionally
💰 Na bado una save/invest TSh 24M+ kwa mwaka.
Labda fisadi, madawa ya kulevya, pesa za majini, au ushirikina wa hali ya juu. Ila ukiajiriwa kwenye mashirika ya kimataifa inawezakana.
 
Yes sir.

Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.

Fikiria hivi.

You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.

1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime, Msasani, baadhi ya sehemu Oysterbay depending on condition of the property etc. Au unaweza amua kuishi Mbezi beach for same amount unapata 3bedroom house in prime area.

Kwenye 6M inabaki 4.5M

2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food. Hiyo ni Tzs40,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.

Inabaki 3.3M

3. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000

Inabaki 2.9M

4. Water bills, electricity, internet,
miscellaneous household bills Tzs250,000

Inabaki 2.65M

5. Insurance + personal care Tzs150,000
Health insurance, gym na vitu vingine.

Inabaki 2.5M

6. Entertainment + lifestyle TSh 400K
Hapa ndipo una enjoy maisha 😁

Restaurants, weekend activities, dates, beach, short trips, hobbies, drinks occasionally etc.

Inabaki 2.1M

6M Tanzania inakupatia

🏠 Nyumba nzuri
🚗 Gari zuri
🍽️ Food nzuri
❤️ Relationship nzuri
🏖️ Weekend activities
✈️ Travel occasionally
💰 Na bado una save/invest TSh 24M+ kwa mwaka.
You are right
 
Back
Top Bottom