Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwanini?Bila shaka yoyote, wewe ni wale mliosoma EM. Kizazi hiki ndio mambo yenu hayo.
Kwanini?Bila shaka yoyote, wewe ni wale mliosoma EM. Kizazi hiki ndio mambo yenu hayo.
40,000 inatosha kabisa kwa mweziFair enough, weka budget mbadala tuone.
Yani kwenye milioni 72 una save only 24 million...? Wewe una mapepoYes sir.
Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.
Fikiria hivi.
You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.
1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime, Msasani, baadhi ya sehemu Oysterbay depending on condition of the property etc. Au unaweza amua kuishi Mbezi beach for same amount unapata 3bedroom house in prime area.
Kwenye 6M inabaki 4.5M
2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food. Hiyo ni Tzs40,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.
Inabaki 3.3M
3. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000
Inabaki 2.9M
4. Water bills, electricity, internet,
miscellaneous household bills Tzs250,000
Inabaki 2.65M
5. Insurance + personal care Tzs150,000
Health insurance, gym na vitu vingine.
Inabaki 2.5M
6. Entertainment + lifestyle TSh 400K
Hapa ndipo una enjoy maisha 😁
Restaurants, weekend activities, dates, beach, short trips, hobbies, drinks occasionally etc.
Inabaki 2.1M
6M Tanzania inakupatia
🏠 Nyumba nzuri
🚗 Gari zuri
🍽️ Food nzuri
❤️ Relationship nzuri
🏖️ Weekend activities
✈️ Travel occasionally
💰 Na bado una save/invest TSh 24M+ kwa mwaka.
Hicho ni Kipato cha Duka la nguo sinza plus Kodi ya Mapato, Ushuru, hela ya kununua mzigo n.k net pay kabisa wengi tunachezes kwenye 1M to 3M na Watu Wana kula bata dailyMkuu 6M ni $2300 only.
Ndiyo ni nyingi kiasi lakini watu wengi tunapata hii pesa kila kwezi.
Kumbuka kuwa na kipato cha 6M si lazima kuajiriwa.
Kwa hiyo wewe unafanya kazi ili uishi au unaishia ili ule?Yani kwenye milioni 72 una save only 24 million...? Wewe una mapepo
Mkuu elezea in details kwa namna gani ukiwa unatumia 4M kwenye mahitaji kama kodi, gari, health insurance, entertainment etc insweza kukufanya usiwe na akili timamu?Hakuna mtu timamu anaweza ishi style hiyo
Ila inabidi uishi kama Mtumwa kwa hela hiiHadi siku niliyogundua kwamba shilingi 1,500,000 inatosha hadi kusomesha watoto 3 hapa town
Mkuu hii ni mada tu.Wengine hata M 1 hawana kwa account zao ww unaongelea M 6 wapumzishe wenzako
Inatokeaga za kulenga, japo adimu sanaaa kutokeagaOysterbay nyumba ya 1.5 vyumba viwili hakuna..
HahahaMilioni 6 hapo kama umeajiriwa mshahara ni zaidi ya Milioni 10 sio mchezo
Big man, wewe ungetumia vipi 6M kila mwezi?You are right
1?5 sio kubwa ila ndio Mapato ya wengi na 50% Wana Dar hawafiki hiiKwa matumizi hayo itakuchukua míaka 20 kuweza kununua kiwanja chako Cha kwanza na kuweza kujenga, hapo sijazungumzia biashara
Hata hivyo hayo huwa ni mawazo ya vijana wengi, Mimi pia niliwaza hivyo
Hadi siku niliyogundua kwamba shilingi 1,500,000 inatosha hadi kusomesha watoto 3 hapa town
Wewe unge save kiasi gani?Yani kwenye milioni 72 una save only 24 million...? Wewe una mapepo