TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

Yes sir.

Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.

Fikiria hivi.

You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.

1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime, Msasani, baadhi ya sehemu Oysterbay depending on condition of the property etc. Au unaweza amua kuishi Mbezi beach for same amount unapata 3bedroom house in prime area.

Kwenye 6M inabaki 4.5M

2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food. Hiyo ni Tzs40,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.

Inabaki 3.3M

3. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000

Inabaki 2.9M

4. Water bills, electricity, internet,
miscellaneous household bills Tzs250,000

Inabaki 2.65M

5. Insurance + personal care Tzs150,000
Health insurance, gym na vitu vingine.

Inabaki 2.5M

6. Entertainment + lifestyle TSh 400K
Hapa ndipo una enjoy maisha 😁

Restaurants, weekend activities, dates, beach, short trips, hobbies, drinks occasionally etc.

Inabaki 2.1M

6M Tanzania inakupatia

🏠 Nyumba nzuri
🚗 Gari zuri
🍽️ Food nzuri
❤️ Relationship nzuri
🏖️ Weekend activities
✈️ Travel occasionally
💰 Na bado una save/invest TSh 24M+ kwa mwaka.
Chai.

Hapo inategemea matumizi binafsi ya mtu, majukumu aliyonayo na aina ya watu aliozungukwa nao.

Kuna mwingine mkao mmoja tu akikaa bar matumizi yake sio chini ya milioni 2 hapo bado hajaondoka na mwanamke wa kwenda kulala naye, hapo bado gharama za mafuta .
 
😅😅😅 umaskini mmbaya sana, ila kwa hali ya kawaida 6 million, ina sound kwa kila mwezi kutoka hali ya maisha ya sasa. ila nafikiri hali ya uchumi ya nchi inakuwa big tatizo hata wanao lipwa hizo salary sio wengi sana
Kweli lakini pia wapo wanaopata hiki kiasi kila kwezi for years. Ukiwa kwenye tech sector utanielewa vizuri.
 
Tajiri anawaza how to minimize costs,lakini maskini anawaza how to maximize expenditures, daah dunia hadaa Ulimwengu shujaa
Sio kweli.

Maskini ndio mabingwa wa kubana bajeti ndio maana usishangae wakabeba chakula kwenye sherehe ikitokea kimebaki

Na wengine wanagombania bia zilizobaki kwenye sherehe hiyo yote kubana bajeti wapate bia za burebure, tajiri hana huo ujinga.
 
Kweli lakini pia wapo wanaopata hiki kiasi kila kwezi for years. Ukiwa kwenye tech sector utanielewa vizuri.
Nipo kwenye tech sector na kwenye ngazi senior, ndio maana nimesema hivyo. Ila kinacho athiri Tanzania ni hali ya uchumi general ( uchumi wa tanzani una athari sana vipato vya watu ). Kuna wenzangu wanachukua hadi 12+ mill kwa mwezi
 
Kwah
Kwa hiyo wewe unafanya kazi ili uishi au unaishia ili ule?

Pesa tunazopata daily na kutumia ukihesabu vizuri mtu anayebakiza 24M amejitahidi Sana be practical
Nafanya kazi ili niishi kwa nidhamu...


Nalipwa 3.5m kama take home nafanya roster ya 42/21

Kampuni inanipa flight go and return

Chakula wanapika nyumbani, wakichoka wanakula mgahawani

Lakini pamoja na hayo yote naweza kusave 2.2m kila mwezi
 
Sio kweli.

Maskini ndio mabingwa wa kubana bajeti ndio maana usishangae wakabeba chakula kwenye sherehe ikitokea kimebaki

Na wengine wanagombania bia zilizobaki kwenye sherehe hiyo yote kubana bajeti wapate bia za burebure, tajiri hana huo ujinga.
Hii ni umaskini kweli? As long as Chakula na amekilipia kwa cash yake why asibebe? Nilijifunza nilipoenda Nchi za watu, Mtu alinunua Chakula let say Nyama, anakula portion anazoweza zinazobaki anabeba na ni watu wenye hela zao.

Hii kitu nilijifunza, na hakuna kuagiza Chakula kingi ambacho mwisho wa siku kitabaki mezani inaonekana hajielewi matumizi yako ya Dolla
 
Sio kweli.

Maskini ndio mabingwa wa kubana bajeti ndio maana usishangae wakabeba chakula kwenye sherehe ikitokea kimebaki

Na wengine wanagombania bia zilizobaki kwenye sherehe hiyo yote kubana bajeti wapate bia za burebure, tajiri hana huo ujinga.
Hamna kitu kama hicho,hivi unatumia tu no saving,je utasave vipi ili ufanya investment au fedha itashuka juu ndio ufanyie investment??,wakati mwingine tukuwe kiakili tuachane na ulimbukeni pamoja na nonsense
 
Kwa matumizi hayo itakuchukua míaka 20 kuweza kununua kiwanja chako Cha kwanza na kuweza kujenga, hapo sijazungumzia biashara

Hata hivyo hayo huwa ni mawazo ya vijana wengi, Mimi pia niliwaza hivyo

Hadi siku niliyogundua kwamba shilingi 1,500,000 inatosha hadi kusomesha watoto 3 hapa town
Kwanini umewaza hivyo?

Je 24M inayobaki kwa mwaka haitoshi kununua kiwanja nje ya nchi Arusha, Dar?

Yes inawezekana kuishi hata na Tzs1M kwa mwezi.

Je lifestyle intakuwa ya namna gani?
 
Back
Top Bottom