Yes sir.
Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.
Fikiria hivi.
You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.
1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime, Msasani, baadhi ya sehemu Oysterbay depending on condition of the property etc. Au unaweza amua kuishi Mbezi beach for same amount unapata 3bedroom house in prime area.
Kwenye 6M inabaki 4.5M
2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food. Hiyo ni Tzs40,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.
Inabaki 3.3M
3. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000
Inabaki 2.9M
4. Water bills, electricity, internet,
miscellaneous household bills Tzs250,000
Inabaki 2.65M
5. Insurance + personal care Tzs150,000
Health insurance, gym na vitu vingine.
Inabaki 2.5M
6. Entertainment + lifestyle TSh 400K
Hapa ndipo una enjoy maisha 😁
Restaurants, weekend activities, dates, beach, short trips, hobbies, drinks occasionally etc.
Inabaki 2.1M
6M Tanzania inakupatia
🏠 Nyumba nzuri
🚗 Gari zuri
🍽️ Food nzuri
❤️ Relationship nzuri
🏖️ Weekend activities
✈️ Travel occasionally
💰 Na bado una save/invest TSh 24M+ kwa mwaka.