TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

Yes sir.

Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.

Fikiria hivi.

You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.

1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime, Msasani, baadhi ya sehemu Oysterbay depending on condition of the property etc. Au unaweza amua kuishi Mbezi beach for same amount unapata 3bedroom house in prime area.

Kwenye 6M inabaki 4.5M

2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food. Hiyo ni Tzs40,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.

Inabaki 3.3M

3. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000

Inabaki 2.9M

4. Water bills, electricity, internet,
miscellaneous household bills Tzs250,000

Inabaki 2.65M

5. Insurance + personal care Tzs150,000
Health insurance, gym na vitu vingine.

Inabaki 2.5M

6. Entertainment + lifestyle TSh 400K
Hapa ndipo una enjoy maisha 😁

Restaurants, weekend activities, dates, beach, short trips, hobbies, drinks occasionally etc.

Inabaki 2.1M

6M Tanzania inakupatia

🏠 Nyumba nzuri
🚗 Gari zuri
🍽️ Food nzuri
❤️ Relationship nzuri
🏖️ Weekend activities
✈️ Travel occasionally
💰 Na bado una save/invest TSh 24M+ kwa mwaka.
We unaota amka kafanye kazi
 
Wanafunzi hicho chuo wanakuwaga na ndoto za kijinga.
Mwisho wanaishia kwenye kamari.
Wamejaa tele Princess Casino, Macau, New Africa Casino wanabahatisha kutafuta utajiri watimize ndoto zao🙄🙄😬
Mkuu mimi si mtoto. Na hii 6M sijasema hapa kama jambo la kufikirika, ninaendesha business wala usiwe na shaka na hii 6M
 
Mishahara hii mnayo hamasishana iendane na uwezo wa kuchapa kazi.
Utakuta mtu ana tamaa ya mshahara mrefu , lakini mtembelee kwenye eneo lake la kazi, anakuja kazini na ulevi, kiburi kwa wateja, muda mwingi anachezea simu, anafanya kazi kivivu ili masaa yaishe arudi akalewe.
Kwakifupi kazi zake mpaka asimamiwe.

Mshahara uendane na uwezo kuchapa kazi , ubunifu na weledi mahali pa kazi.
 
Umewaza nini mkuu hadi ufikirie 6M income inatokana na mshahara? Mkuu most people wanao earn hii kiasi au zaidi ni business owners/entrepreneurs.
 
Kubwa sana mkuu.

Kubwa sana.

Personal care 500k pekeyangu.
Wewe ni ke naweza kuelewa hii personal care 500k.

1.5M inaweza onekana nyingi but inategemea na nyumba/apartment na pia eneo unalotaka kuishi. Binafsi napendelea prime areas kazi na mambo yangu mengi nafanyia nyumbani. Usalama, utulivu, na mwonekano mzuri wa nyumba/apartment ni priority ya kwanza kwangu.
 
Yes sir.

Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.

Fikiria hivi.

You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.

1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime, Msasani, baadhi ya sehemu Oysterbay depending on condition of the property etc. Au unaweza amua kuishi Mbezi beach for same amount unapata 3bedroom house in prime area.

Kwenye 6M inabaki 4.5M

2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food. Hiyo ni Tzs40,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.

Inabaki 3.3M

3. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000

Inabaki 2.9M

4. Water bills, electricity, internet,
miscellaneous household bills Tzs250,000

Inabaki 2.65M

5. Insurance + personal care Tzs150,000
Health insurance, gym na vitu vingine.

Inabaki 2.5M

6. Entertainment + lifestyle TSh 400K
Hapa ndipo una enjoy maisha 😁

Restaurants, weekend activities, dates, beach, short trips, hobbies, drinks occasionally etc.

Inabaki 2.1M

6M Tanzania inakupatia

🏠 Nyumba nzuri
🚗 Gari zuri
🍽️ Food nzuri
❤️ Relationship nzuri
🏖️ Weekend activities
✈️ Travel occasionally
💰 Na bado una save/invest TSh 24M+ kwa mwaka.
. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000

hizi ni anasa, si basic.
 
Kiasi gani kitumike isiwe anasa?
 
Yes sir.

Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.

Fikiria hivi.

You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.

1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime, Msasani, baadhi ya sehemu Oysterbay depending on condition of the property etc. Au unaweza amua kuishi Mbezi beach for same amount unapata 3bedroom house in prime area.

Kwenye 6M inabaki 4.5M

2. Food & Groceries: Mnapika home lakini pia mna order food. Hiyo ni Tzs40,000 kila siku. 1.2M kwa mwezi.

Inabaki 3.3M

3. Gar fuel & maintenance. Mazda CX-5, Toyota Alphard or Crown Athlete etc. Fuel, maintenance kila mwezi Tzs400,000

Inabaki 2.9M

4. Water bills, electricity, internet,
miscellaneous household bills Tzs250,000

Inabaki 2.65M

5. Insurance + personal care Tzs150,000
Health insurance, gym na vitu vingine.

Inabaki 2.5M

6. Entertainment + lifestyle TSh 400K
Hapa ndipo una enjoy maisha 😁

Restaurants, weekend activities, dates, beach, short trips, hobbies, drinks occasionally etc.

Inabaki 2.1M

6M Tanzania inakupatia

🏠 Nyumba nzuri
🚗 Gari zuri
🍽️ Food nzuri
❤️ Relationship nzuri
🏖️ Weekend activities
✈️ Travel occasionally
💰 Na bado una save/invest TSh 24M+ kwa mwaka.
Halafu eti Kuna 'kufa'...daah!!
 
Sikatai 1.5M inaweza kutosha. Lakini swali linabaki lifestyle itakuwa vipi?
Unapokuwa baba wa familia, ni lazima uchague kujinyima

Ila kama ni Kijana bachelor, sio ajabu kufanyia matumizi ya hela yote bila kufanya savings
 
Back
Top Bottom