TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

Mkuu mimi si mtoto. Na hii 6M sijasema hapa kama jambo la kufikirika, ninaendesha business wala usiwe na shaka na hii 6M
Kwahio kwenye hio biashara yako unajilipa 6m au 6m ndio net income ya hio biashara?
 
Sitaki kusema sana how much I make italeta mjadala usio na maana sana. Kwa kifupi net income ya business inazidi hii 6M kwa mbali. I own outbound agency for years.
Na ndio maana umeandika ulichoandika. Mtu anaefanyq biashara na anaijua biashara akiwa kwemye bracket ya 6m hawezi kutumia au kuwa na budget hii ulioandika.
 
Ikungi kwetu kumekukosea nini?
😅😅 Kuku watamu kuku wameng'aaa, huwezi amini nilikuwa kila siku nilikuwa natoka mjini au nikiwa utaho, kwenda kula kuku wa pale center jamaa walikuwa wanajua na pendaje... sehemu yangu bora kabisa ya kuishi, nikistaafu naenda cheza na wajuu zangu Puma pale
 
Na ndio maana umeandika ulichoandika. Mtu anaefanyq biashara na anaijua biashara akiwa kwemye bracket ya 6m hawezi kutumia au kuwa na budget hii ulioandika.

Budget ya mtu binafsi inaamuliwa kulingana na priorities, expenses na investments sio income pekee.
 
Watu mnajua kuota ndoto nzuri nzuri, amkeni mtajikojolea bure
Mnapangia bajeti hela ya usingizini
 
Income ndio main factor. Na ndio maana hata wewe umezungumzia lifestyle hii kwa income ya 6m.
Yes, income ni main factor. Ila kwa lugha rahisi kama biashara ina MRR kubwa zaidi si ajabu mtu akawa anajilipa 6M kwa mwezi kama personal income huku bado biashara ikiwa na pesa ya kucover expenses na kufanya reinvestment. Ndio maana nilipozungumzia hiyo lifestyle nilikuwa namaanisha mtu mwenye personal income ya 6M, sio biashara inayotengeneza 6M tu.
 
Back
Top Bottom