STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Mchina anapaogopa pale maana Taiwan ana Zana za kivita za hatari na China anaziogopa. Hong Kong ilikuwa haina uhuru kama taiwan
Mbona NSA ilizitaka kampuni za take US waweke backdoor!?wamarekani wamekataa technologia yao isitumiwe na HUAWEI sababu serikali ya china ina mikono kwenye kampuni hiyo na hivyo kusababisha wasiwasi wa bidhaa za HUAWEI kutumiwa na serikali ya uchina katika namna inayohatarisha usalama wa USA.
Issue ya serikali ya UCHINA kuwa na influence kwenye kampuni hiyo ni sababu, serikali ya UCHINA haiko tayari makampuni ya kibiashara kujiendesha yanavyotaka bila maelekezo yake binafsi, na hii inawezekana sababu hakuna hoja mbadala pale china za namna serikali inapaswa kuendeshwa au kusimamia uchumi wa nchi.
sasa hapo wamarekani wana wivu kivipi?
kama ni wivu hao wachina si watumie technologia yao yaishe.
zilikubali?Mbona NSA ilizitaka kampuni za take US waweke backdoor!?
Ina maana hujui kuwa zote zina backdoor kwa ajili ya intelligence agencies amazilikubali?
PointZilikuwepo empire zenye nguvu na zilianguka,Mchina sio mjinga kivile lazima atakuja na solution.Mbaya zaidi kila taifa litakuja na solution zake kuondoa huu ukiritimba baada ya kuona jinsi China anavyofanyiziwa
Naona uko biased vibaya sana. January hii pekee Apple wamegoma walilazimishwa na mwanasheria mkuu wa serikali ya USA kutengeneza hiyo backdoor na wamegoma mpaka leo. sasa wewe unazungumzia backdoor ipi.Ina maana hujui kuwa zote zina backdoor kwa ajili ya intelligence agencies ama
Kwahiyo unataka waseme kwenye public kuwa wameweka backdoor, aiseeNaona uko biased vibaya sana. January hii pekee Apple wamegoma walilazimishwa na mwanasheria mkuu wa serikali ya USA kutengeneza hiyo backdoor na wamegoma mpaka leo. sasa wewe unazungumzia backdoor ipi.
Labda hii pia itakusaidiNaona uko biased vibaya sana. January hii pekee Apple wamegoma walilazimishwa na mwanasheria mkuu wa serikali ya USA kutengeneza hiyo backdoor na wamegoma mpaka leo. sasa wewe unazungumzia backdoor ipi.
Sasa wewe umejulia wapi? Server ya siri ipi?Kwahiyo unataka waseme kwenye public kuwa wameweka backdoor, aisee
Kwani mpaka Snowden analikisha ulikuwa ufuatilii ama sababu ni USA?
Kwani ile server ya siri kazi yake unahisi ni nini mkuu!?
.... kwamba mchinja kuku Tandale Sokoni maeneo ya Uzuri anafahamu habari hizi kuliko Sekretary Pompeo former DG wa CIA ambaye all intelligence reports are at his disposal. Ajabu kweli kweli.Kwamba wewe unajua kuliko wao
Hadi ww umeweza kujua yote hayo sijui mchumi Mkuu wa Marekani yukoje; sijui the Cabinet chaired by His Excellence Donald Trump the President and Commander-in-Chief of the US Armed and Security Forces wanazo taarifa za aina gani. Ndio ilikuwa essence ya hoja ya Mkuu Root.Sio mm najua kuzidi wao ila inabidi ujue ujanja wa makampuni makubwa duniani.
kwamba huwa hawajiwekezi sehemu moja tu.
Kwasababu sio siri tenaSasa wewe umejulia wapi? Server ya siri ipi?
Huawei zte na honor zote ni kampuni moja ila kwa majina tofauti. kwahiyo marekani kutowauzia huawei processor ni sawa na kazi bure.
Hahaha jamaa unachekesha sanaTaiwan ni pa moto na USA yuko tayari kuingia vitani akisaidiwa na Australia na Europe . Mchina atawashiwa moto hatari. Mchina acheze na Tibet na Hong Cong hapo ndio ana uwezo napo
Hahaha imagine !!!
Hata kampuni zote za US za tech, security agencies wana backdoor, na hii iko wazi.HUAWEI iko mfukoni mwa nchi ya Chama cha Kikomunisti cha Uchina.
Inahatarisha faragha na usalama wa taarifa za watu na mataifa.
Hata kampuni zote za US za tech, security agencies wana backdoor, na hii iko wazi.
Kila unachotumia kina send data, kuanzia windows, smart tv, fridge, simu, printer, switch, router, server, application and softwares. so hii haina mchina, ni wote.