Sawa endelea kuamini hivyo, kwahiyo ulitaka waseme then waaribu reputation ya kampuni na kupoteza wateja?FBI ( na lazma waliomba msaada CIA, MOSAD etc.) walishindwa kuzibua ki PIN number cha simu ya terrorist wa California na Florida. Apple wakakataa kutoa ushirikiano.
Hizo backdoor za serikali ya Marekani zilikuwa wapi?
wamarekani wamekataa technologia yao isitumiwe na HUAWEI sababu serikali ya china ina mikono kwenye kampuni hiyo na hivyo kusababisha wasiwasi wa bidhaa za HUAWEI kutumiwa na serikali ya uchina katika namna inayohatarisha usalama wa USA.
Issue ya serikali ya UCHINA kuwa na influence kwenye kampuni hiyo ni sababu, serikali ya UCHINA haiko tayari makampuni ya kibiashara kujiendesha yanavyotaka bila maelekezo yake binafsi, na hii inawezekana sababu hakuna hoja mbadala pale china za namna serikali inapaswa kuendeshwa au kusimamia uchumi wa nchi.
sasa hapo wamarekani wana wivu kivipi?
kama ni wivu hao wachina si watumie technologia yao yaishe.
So unaamini kwamba Apple wangedefy hiyo communication act!?Compare and contrast
FBI–Apple encryption dispute - Wikipedia
Kama kipi ?Wanachosahau ni kuwa China inaponyimwa kitu, inatengeneza cha kwake.
Android na google service unaijua ilivyo penetrate kwenye soko la simu duniani?Huawei zte na honor zote ni kampuni moja ila kwa majina tofauti. kwahiyo marekani kutowauzia huawei processor ni sawa na kazi bure.
Labda china aombe pooMi nahisi kama Marekani kuna kitu inakitafuta kutoka China na itakipata very soon,muda utaongea...
Eneo la kwanza ni hili la semiconductors na processors. Juhudi walizoweka huko baada ya hizi sanctions ni kubwa sana. Na ndio jambo alikuwa anasema Sundar Pichai, Huawei wakifungiwa hawatakubali kufa bali watapambana kuwa independent zaidi, which will make them even more dangerous kuliko sasaKama kipi ?
gadgets kutengenezwa nchi fulani sio stepping stone kwenye maendeleo, china kutengeneza vitu vingi under licence haimaanishi kuwa ndo ata master game ,Du hebu angalia gadget zote ulizonazo zimetengenezwa wapi.
Kila nchi inategemea nchi zingine
walisema watalauch os yao kama mbadala wa android imeishia wapi?Eneo la kwanza ni hili la semiconductors na processors. Juhudi walizoweka huko baada ya hizi sanctions ni kubwa sana. Na ndio jambo alikuwa anasema Sundar Pichai, Huawei wakifungiwa hawatakubali kufa bali watapambana kuwa independent zaidi, which will make them even more dangerous kuliko sasa
Kwenye software, the west wako mbali sana, hata kama Wachina wakijaribu itaishia kutumika kwao tu. Google eco system sasa hivi haina mbadala, hapo watachemsha. Lakini vita ya sasa hivi ni hardware hawatashindwa. Underestimating the Chinese imewa-cost the Westwalisema watalauch os yao kama mbadala wa android imeishia wapi?
leo hii android ikimbana mchina anaweza kutoka kwenye soko la smart phones , mchina alikuwa wapi kustuka wakati android inapenetrate hadi inafikia level ya kuwa tishio kwa mchina,
hata kwenye hardware mchina hakupewa kila kitu, huawei processor yao ya kirin inaenda kufa kibudu kwa kukosa baadhi ya components amabazo zia patents ya marekani, hata hiyo Mtk processor nazo zipo kwenye pipeline hiyo hiyo just in case watazinguaKwenye software, the west wako mbali sana, hata kama Wachina wakijaribu itaishia kutumika kwao tu. Google eco system sasa hivi haina mbadala, hapo watachemsha. Lakini vita ya sasa hivi ni hardware hawatashindwa. Underestimating the Chinese imewa-cost the West
Kwahiyo ww unajua huawei ni mafara kama ww?kwailhiyo hiki kitu unahisi washngton hawakijui ile ww wa namtumbo hko unekijua?
Watch that space.... hawatashindwa, wataboronga mwanzoni lakini hawatashindwa.hata kwenye hardware mchina hakupewa kila kitu, huawei processor yao ya kirin inaenda kufa kibudu kwa kukosa baadhi ya components amabazo zia patents ya marekani, hata hiyo Mtk processor nazo zipo kwenye pipeline hiyo hiyo just in case watazingua
Sawa endelea kuamini hivyo, kwahiyo ulitaka waseme then waaribu reputation ya kampuni na kupoteza wateja?
they don't have records to prosper on their own, nipe innovations hata tano tu ambazo mchina ame anzisha kwa mkono wakeWatch that space.... hawatashindwa, wataboronga mwanzoni lakini hawatashindwa.
watu wanasahau yaliyotokea kwenye kampuni ya Enron , whistleblower mdogo kabisa alisababisha kampuni kubwa ku file bankruptcy na kupotea kabisa. na katiba ikamlinda , ingekuwa kwenye ujamaa wetu huu jamaa alikuwa anapoteawamefikishana mpaka mahakamani, hawawezi kucheza maigizo mahakamani
halafu nchi zilizoendelea hawana uongo uongo wa kampuni na serikali kudanganya raia.... watatokea watu ndani ya FBI na Apple wanaitwa "whistle blower" watasema jamani eeeh, huku kuna kigenge kinavunja sheria za kikatiba za faragha... itakuwa ishu kubwa sana
Wamarekani wanaiamini na kuisujudia katiba yao kama neno la Mungu liletalo uponyaji
Kwahiyo whistle-blower Snowden alidanganya? Backdoor is there mkuu, sikulazimishi kuaminiwamefikishana mpaka mahakamani, hawawezi kucheza maigizo mahakamani
halafu nchi zilizoendelea hawana uongo uongo wa kampuni na serikali kudanganya raia.... watatokea watu ndani ya FBI na Apple wanaitwa "whistle blower" watasema jamani eeeh, huku kuna kigenge kinavunja sheria za kikatiba za faragha... itakuwa ishu kubwa sana
Wamarekani wanaiamini na kuisujudia katiba yao kama neno la Mungu liletalo uponyaji