mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Hapa inabidi tu-Apply formula Pro. Assad (kuuwa kampuni alafu kuanzisha nyingine ili tuachane na madeni)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limelemewa na deni la Sh403 bilioni ilhali mtaji ilionao ni wa Sh243.
Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Japhet Hasunga amesema hayo jana Jumatano Oktoba 20, 2021 baada ya kuipitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2019/20 ambapo amesema wamebaini kuna viashiria katika Shirika hilo kutofanya vizuri kwakuwa lina mtaji hasi wa Sh132 bilioni na madeni makubwa kuliko mtaji wake.
“Hicho ni kiashiria kuwa bado shirika haliendi vizuri. Shirika letu linalipa hadi kodi lakini mapato yao hayajaingizwa katika vitabu vyao,” amesema Hasunga.
=====
Pamoja na nia njema ya JPM, mashirika ya umma yamekuwa yanakula pato la Taifa bila kuleta tija. Tubaki na Tanesco yenye maslahi mapana ya Taifa, haya mengine tukihitaji uzalendo tuwape wafanyabiashara wazawa wajaribu bahati yao.
TTCL ndio ina mkongo wa Taifa wa Data, pamoja na advantage hiyo kibiashara wameshindwa kabisa kutawala soko la internet, yaani mwingine ananunua kutoka kwao halafu anawagaragaza sokoni, tumeshindwa.
Mkuu nawewe unaamini hiyo report ya PAC?
*RudiLudi nyumbani kumenoga
jamaa yule yupo smart sana hata ukimsikiliza ana utofauti na ma CEO wengi wa serikali, ni yeye ndiye amefufua hilo shirika,tatizo ni wanasiasa ndio wanaliuaYule DG wao na bodi yao wanatakiwa kujitathmini
Wakuu TTCL Walitoa Gawio,
Leo wanasema wana deni kubwa lisilolipika!
Kwanini hawakusema ukweli toka mwanzo?
Au ndio Unafiki Wa Viongozi Wetu Wa Taasisi za Imma Kujipendekeza Kwa Wanasiasa?View attachment 1982752
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama umeelewa hoja ya mleta thread au uccm umekula ubongo wako. Hoja ni kwamba ttcl wakati WA ngosha walikuwa wanatoa gawio lakini Leo wanadai Wana deni lisilolipika. HATA atcl hivyohivyo lakini kumbe zilikuwa mbwembwe.ni sawa maana sijaona kama ttcl wana make business yoyote ile kwenye comminication industry
Tunaposema kuwa maigizo yamezidi hata kwenye mambo ya msingi ndiyo inabidi tueleweke.Wakuu TTCL Walitoa Gawio,
Leo wanasema wana deni kubwa lisilolipika!
Kwanini hawakusema ukweli toka mwanzo?
Au ndio Unafiki Wa Viongozi Wetu Wa Taasisi za Imma Kujipendekeza Kwa Wanasiasa?View attachment 1982752
Sent using Jamii Forums mobile app