Asante Jiwe Magufuli kwa kulipa shirika uwezo wa kufanya makubwa, historia itakukumbuka daima.
Ukiondoa nchi za Africa karibu nchi zote duniani wana hiyo huduma.Nchi gani hapa duniani wana hiyo huduma ya unlimited internet bundle? Zitaje 3 nione
Nimeishi pia ulaya. Huwa kuna vigezo na Masharti fulani ya kuzingatiwa siyo unlimited 100%Ukiondoa nchi za Africa karibu nchi zote duniani wana hiyo huduma.
Kipindi hicho hata Marekani Internet ilikuwa haijulikani zaidi ya serikali na jeshi.Kwani mpaka watangaze kitu kidogo kama hiko kilipashwa kuwepo tangu enzi za Julius.
Ukiacha ubishi wa kitoto utanielewa.Nimeishi pia ulaya. Huwa kuna vigezo na Masharti fulani ya kuzingatiwa siyo unlimited 100%
Usiku MwemaUkiacha ubishi wa kitoto utanielewa.
Yeah ubishi bila facts na evidence ni zaidi ya utoto, kizuri umechukua ushauri.Usiku Mwema
TTCL wanakera sana mbona wamechelewa kufanya hivyo????Kumekuwa ni kilio cha muda mrefu kuhusu upatikanaji wa unlimited internet kwa gharama nafuu. Ilikuwa inashangaza ni kwa nini shirika kubwa kama TTCL Customer Care haliichukui hii fursa (hata kwa kushirikiana na TANESCO ili kutumia nguzo zao). Sasa wapo kwenye right track na watasambaza internet kila kona kuanzia mwaka ujao wa fedha; unajichagulia speed yako kulingana na uwezo wa kulipia kwa mwezi. Asante Jiwe Magufuli kwa kulipa shirika uwezo wa kufanya makubwa, historia itakukumbuka daima.
Bei za vifurushi kwa mwezi:
10mbps > 55,000
20mbps > 100,000
30mbps > 150,000
50mbps > 200,000
cc C.T.U
#KaziIendelee
Wacheki Vodacom kwenye namba ya WhatsApp 0754100100,Buona notte tesoro
Waambie unahitaji huduma ya SuperKasi na sio Kasi-Internet,1Buona notte tesoro
Kumekuwa ni kilio cha muda mrefu kuhusu upatikanaji wa unlimited internet kwa gharama nafuu. Ilikuwa inashangaza ni kwa nini shirika kubwa kama TTCL Customer Care haliichukui hii fursa (hata kwa kushirikiana na TANESCO ili kutumia nguzo zao). Sasa wapo kwenye right track na watasambaza internet kila kona kuanzia mwaka ujao wa fedha; unajichagulia speed yako kulingana na uwezo wa kulipia kwa mwezi. Asante Jiwe Magufuli kwa kulipa shirika uwezo wa kufanya makubwa, historia itakukumbuka daima.
Bei za vifurushi kwa mwezi:
10mbps > 55,000
20mbps > 100,000
30mbps > 150,000
50mbps > 200,000
cc C.T.U
#KaziIendelee
Kwa bei hizo watasubiri sana!! WAtafanana na DSTV ambao wameng'ang'ania bei ya zaidi ya laki moja kwa kifurushi cha compact plus ili kuona EPL. Matokeo yake watu wamekomaa na vibanda umiza!! Wangeshusha angalau ikawa 50,000/= watu wengi sana wangenunua na wangepata faida sana.
sasa hawa TTCL wanataka sh 55,000 kwa intanenti spidi ya chini kwa mwezi, itabidi wasubiri sana! wangefanya sh 20,000/= wangepata watu wengi.
Hahahah...ngoja nicheke tu
Kweli wahenga hawakukosea waliposema, 'usolijua ni kama usiku wa kiza'
TTCL ipi hiyo iliyopewa uwezo [emoji23][emoji23]
TTCL wanakera sana mbona wamechelewa kufanya hivyo????
Du kazi kwelikweli inaitwa miwani ya Mbao..Nchi gani hapa duniani wana hiyo huduma ya unlimited internet bundle? Zitaje 3 nione