Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Watanzania wengi kwanza wanaanza na Conspiracy Theory kabla ya kutafuta facts.

Kama hata watatafuta hizo facts.

Wanasema wape picha tu, habari watajazia wenyewe.

Kuna mtu kasema "Ndugai alikuw amzima wa afya kabisa mpaka juzi".

Utafikiri alimpima Ndugai vipimo vyote juzi hiyo hiyo.
 
Hivyo vifupi siyo common, hata medical personel hawezi kuvifahamu labda BPH.
 
Kwa sisi tuliopitia Medical school tumekuelewa!
Hata kama hatujui kama waheshimiwa wengi wana matatizo ya kiafya naamini ndivyo ilivyo!
 
Punguza makasiriko kima wewe. Dr. ametoa elimu murua kabisa then wewe unaleta vichambo vyako vya buza huko kwa lulenge. Nimesoma thread ya Dr. line by line, hakuna hata sehemu moja ameonyesha ego pumbafu kabisa wewe na ID yako kama mpiga ramli.
 
Habari za Mzena Bwashee?

Hivi alivyofikishwa hapo ilikuwaje?
 
Pamoja na wengi kuwa wagonjwa lakini haiondoi uwezekano wa wao kutangulizwa ahera madukani kwa malengo ya kisiasa, kumbuka siasa ni mchezo mchafu
 
Asichokijua mleta mada ni kwamba kama una tatizo fulani linalojulikana, ni rahisi sana watu kupita mule mule kwenye hilo tatizo lako ili kutoacha trace.
 
Haya Daktari tuambie sasa ili usije kujitokeza baadaye kutufokea tena kwa simulizi ndefu kama hii na kuleta taharuki…

Tueleze basi…Chifu Hangaya anaumwa nini? Na anavuta lini??
 
Haya Daktari tuambie sasa ili usije kujitokeza baadaye kutufokea tena kwa simulizi ndefu kama hii na kuleta taharuki…

Tueleze basi…Chifu Hangaya anaumwa nini? Na anavuta lini??
Kamuulize mwenyewe au Msigwa
 
Asichokijua mleta mada ni kwamba kama una tatizo fulani linalojulikana, ni rahisi sana watu kupita mule mule kwenye hilo tatizo lako ili kutoacha trace.
Sio kweli nyie Waafrica mna hila sana

You should know hawa top leaders wana protection sana

Sio rahisi kama unavodhan mzee
 
Samia ana ugonjwa wa ripicepheras apendiculatus bengalesis
Uliowataja wengi ni over 60,umri wa kawaida kufa relax
 
Pia umesahau kuwa wengi wana hiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…