Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Punguza hasira mkuu, hakuna mkamilifu chini ya jua. Kaandika mengi yenye maana na faida kwetu tujikite kwenye yale yaliyo chanya.
 
Well narrated. You made a point.
 
sio rahis
Ndio ukweli wenyewe pale ikulu kuna gym. Katika ratiba yake ametenga muda wa mazoezi pia kuna swimming pool anaogelea mara kwa mara.

Kikwete anaenda gym siku moja moja, pia anayo tabia ya RIP Mwinyi anafanya mazoezi ya kutembea.
 
Najua Ikulu kuna Gym. Kama haikuwa tabia yake kufanya mazoezi

Unene ni chanzo cha magonjwa mengi
 
Nawaza hii move ya ndugai, sio ya juma kaseja wala bi taarab.

Hii huenda ni team slow slow au mchezaji mwingine, aliye amua kucheza kete ya dharura ili game linoge.
 
Pumbav za mahindi wewe mwenyewe ni Mgonjwa
 
Kazi ipo kwel, hata ukipata mali nyingi tu kupitia biashara, huwa magonjwa yanakua karibu cjui kwanin? Au ni mlo unaathiri?
Huwezi mkuta masikin akiugua mara kwa mara
 
Kazi ipo kwel, hata ukipata mali nyingi tu kupitia biashara, huwa magonjwa yanakua karibu cjui kwanin? Au ni mlo unaathiri?
Huwezi mkuta masikin akiugua mara kwa mara
Knowledge gap kwenye Afya and life style.

Why ni kwa africains zaid
 
Kazi ipo kwel, hata ukipata mali nyingi tu kupitia biashara, huwa magonjwa yanakua karibu cjui kwanin? Au ni mlo unaathiri?
Huwezi mkuta masikin akiugua mara kwa mara
Sio hata mali nyingi
We Mpe masikini akutunzie biashara
Alikulia Ugali na maharage na mboga za majani.

Akianza kukuibia tu anabadili na maisha kabisa
Kila jioni unamkuta anakula nyama choma kwa chips (mafuta kibao)

Akianza kunenepa ujue huyo tayari hachukui mda ana kufa
Na wengine hivyo hivyo
Wakinadili life styles zao tu Chali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…