Bibi wakati/Kikala safari hii anaigiza wa kishua [emoji23]
Sema haendani na ushua.
Huyu anapendeza akiigiza uswahilini kama kwenye Mama Kimbo,Kombolela na Hatia.
Sema ana maneno huyu mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2528727
Fungu langu
Huyu mama Hidaya,kama kawaida ni jasusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji119]
Huyu mama ni boonge la muigizaji
Hakuna character aliyowahi kupwaya
Kwenye hatia alikimbiza sanaView attachment 2528725
Halafu anasema unasemaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alinichekesha alivyokuwa anachezea simu huku anacheka mme wake akakasrika eti upo busy na simu tu hebu njoo unikande kande miguu [emoji23][emoji23][emoji23]
Maya hii nafasi angeicheza vyema kabisa
Yaani kama hili kosa Moja mimi nashangaa sijui hata lilipitaje kwenye pannel ya Azam hadi likashinda kupitishwa.
Kwakweli kwangu naona hamna kitu[emoji1787]
Wengine wamejitahidi tahidi
Ila huyo Caty kwa kweli hakuna kitu.
Siku hizi Maya amezeeka ila bado mzuriHawa wamama wanajua kuigiza na kanumba alikuwa anajua kuwachezesha wanakuwa na uhalisia
Siku hizi Maya amezeeka ila bado mzuri
Huyu mama kwangu mimi ni the best actress katika wamama hapa Tz.
Nilishangaa Mafufu alimuacha kwenye HatiaGrace anajua kuigiza sanaa
MKUU ebu tubaki kwenye mada.Na kujichua
Huba sijaangalia.Grace mapunda
Mama hidaya
Na yule alifariki mweupe hivi
Mama Dorice wa huba yule mjita
Na mama yao jose nduguru anaitwaga nani yule mama kwenye zahanat ya kijij anaitwa sidi anajua sanaaa
Nilishangaa Mafufu alimuacha kwenye Hatia
Angemuweka nafasi ya Mama Janeth.
Ila hata yule mama alimuweka hiyo nafasi alijitahidi sana.
Akaja kuchemka ile nafasi ya Dada yake Tom London..
Series nyingine ilivyonichekesha ni maji ya shingo
Johari na Hemed Johari alivyokuwa anamganda Hemedi[emoji1787]
Hemedi anachekesha jamani
Huba sijaangalia.
Oh yule Mama alikufa mwaka jana[emoji3064],alikuwa vizuri sana(R.I.P)
Bi Star[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kwenye hatia ameigiza vizuri sana..
Yaani hadi Kuna muda unapata feeling za kulia.
Yule mama Fundi sana,
Kwenye zahanati ya kijiji naona anakimbiza .
Anhaa[emoji1787]Bi star anajua mnooooooo
Hata grace mapunda anajua sanaaa
Nasemea yule mama anaigizaga mchawi kuanzia kwenye kaole
Nashukuru mwenyekiti Kwa kulivalia njuga hiliMKUU ebu tubaki kwenye mada.
Hata aibu hana🤣Bi ubwa ni noma...
IAlikua hataki kuwadischarge wale wtt waloungua ili aendelee kunywa uji wa wagonjwa na,chakula chao..
😄 😄 😄 😄 😄
Mgeni nae kujifanya mzungu hahhhaahaHata aibu hana🤣
Kaenda kuomba mkate kwa Tausi wakati hata mgeni hajala.
Niliipenda Tunu ila hii ya fungu langu kama imenipita kushoto Jennifer kyaka anapenda kuigiza anaonewa tu/huzuniYes leo naelewa ni fungu langu na Kosa moja.
Kosa moja, series inanihusu somehow hii, siachi kuitazama.
[emoji3][emoji3][emoji3]ila Jay voice [emoji119]Eheee na kosa moja angalau nzuri kiasi yule jay voice ananichekesha sana Ila inaoneshwa jumamos na jumapili