Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
- Thread starter
- #221
Bibi wakati/Kikala safari hii anaigiza wa kishua [emoji23]
Sema haendani na ushua.
Huyu anapendeza akiigiza uswahilini kama kwenye Mama Kimbo,Kombolela na Hatia.
Sema ana maneno huyu mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2528727
Alinichekesha alivyokuwa anachezea simu huku anacheka mme wake akakasrika eti upo busy na simu tu hebu njoo unikande kande miguu 😂😂😂
Maya hii nafasi angeicheza vyema kabisa