The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nje ya Geita na katoro mtu anaenda wapi mkoa wa Geita, Bwanga?Akili zako ni kwamba kila anaepanda ndege anaenda Geita Mjini. Geita ni kubwa bro na ina centre nyingi sana na zingine ziko mbali sana na Mwanza. Na kwa taarifa yako Geita mjini hakuja changamka kuliko Katoro. Maana unavyoisema hiyo Geita mjini utafikiri sijui ni centre kubwa ya kila kitu.
Jana mimi nimepanda nilikuwa peke yangu!juzi nimepanda hiyo ndege kutoka Mwanza kwenda Dar tulikua abiria 14 tu.
Sasa wewe kama unaijua Geita useme mwenyewe kwani huoni ule ukanda wa kupakana na Kahama, ushirombo kule nyakanazi na centre nyingne inamaana huzijui au unataka somoNje ya Geita na katoro mtu anaenda wapi mkoa wa Geita, Bwanga?
Katori imechangamka ila katoro ni mji mdogo sana huwezi kuulinganisha na Geita.
Leo limeenda tupu MwanzaJana mimi nimepanda nilikuwa peke yangu!
Ndio majibu wanayopenda kusikia.Leo limeenda tupu Mwanza
Kupiga watu risasi na kubambikizia watu kesi ndio uzalendo?Siyo tu kukosa sababu, ni aibu kwa mtanzania mzalendo kuombea mabaya Nchi yake! Mtu anatamani ndege ikose abiria, Nchi ikose misaada nk, uzalendo uko wapi hapo?!
Hiyo ndiyo hali halisi!Ndio maana sijataja Mwanza,Mbeya wala Dsm na maeneo mengine potential!Siku Chato ikifikia level hizo tutasema!Kwasasa ni white elephant project!Unadharau sana wewe, nchi hii ni wa wapi wenye uwezo wa kupanda ndege? acha umajinuni wako ndege tutapanda tu licha ya roho zenu mbaya
Dah nazani kama naenda geita mjini ni bora nipitie mwanza tuChato - Katoro 71km
Chato - Geita 113km
Mwanza - Geita 98km
Tokea uniingize choo cha kike series moja hivi kule kwenye entertainment,mpaka nikiona ID yako naikumbuka!Nirudishie bando langu aisee😁😁Ndio majibu wanayopenda kusikia.
Mtu apande ndege Chato halafu aje ushirombo, Runzewe, Uyovu ama kahama wakati kuna uwanja wa ndege wa Kahama?Sasa wewe kama unaijua Geita useme mwenyewe kwani huoni ule ukanda wa kupakana na Kahama, ushirombo kule nyakanazi na centre nyingne inamaana huzijui au unataka somo
Kama unaujua ukanda huo basi ungesema uwanja ulipaswa kujengwa kahama na si Chato!Runzewe,ushirombo,Nzega,kahama,Katoro na kuzunguka maeneo hayo vingehudumiwa na uwanja huo!Sasa wewe kama unaijua Geita useme mwenyewe kwani huoni ule ukanda wa kupakana na Kahama, ushirombo kule nyakanazi na centre nyingne inamaana huzijui au unataka somo
acha kufananisha songea na vitu vya ajabu ule uwanja upo tangu enzi za mwalim na ndege inajaa kule kuna biashara ya madini kahawa na mahindiUnaijua route ya Songea? Miaka yote ipo na haijawahi kufa kuna nini kule cha ajabu? Hii route itaishi miaka 1000 believe me
Mistaken ID? Huko wala siingiagi.Tokea uniingize choo cha kike series moja hivi kule kwenye entertainment,mpaka nikiona ID yako naikumbuka!Nirudishie bando langu aisee😁😁
Mkuu,kahama uwanja umejengwa lini?Mtu apande ndege Chato halafu aje ushirombo, Runzewe, Uyovu ama kahama wakati kuna uwanja wa ndege wa Kahama?
Mtu apande ndege ashuke Chato halafu aende Nyakanazi? Maana yake arudi hadi Bwanga, karibu 90km, Bwanga Nyakanazi 60km, ama Chato Bwanga 90km, Bwanga Biharamulo 70k, Biharamuro Nyakanazi 40k.
Ongelea mkoa mwingine Geita naijua vizuri.(bahati mbaya kwako ni kua mikoa yote naijua vizuri)
Dah nazani kama naenda geita mjini ni bora nipitie mwanza tu
Ok!Nitakuwa nimekosea!Mistaken ID? Huko wala siingiagi.
Mkuu,kahama uwanja umejengwa lini?
Kahama airstrip huijui iko wapi? Precision wanatua pale huna taarifa?Mkuu,kahama uwanja umejengwa lini?
Uzalendo ni kupiga na kuua watanzania wasio nahatia nakufunga watu bila sababu kisa msujudiwe?Siyo tu kukosa sababu, ni aibu kwa mtanzania mzalendo kuombea mabaya Nchi yake! Mtu anatamani ndege ikose abiria, Nchi ikose misaada nk, uzalendo uko wapi hapo?!