Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

Sawa, wewe una shilling ngapi hapo mfukoni? Je umekunywa chai? Una majukumu yoyote ya kulipia watoto school fees au ni kula kulala?

Ukijibu maswali haya ndio naweza kuelewa wewe ni category gani then ndio tuendelee na hui ushuzi wako.

Boss long time sana mitaa hii
 
Mmmh awapi imejaa sbb ya baba Yenu yuko chato saivi koo mnakuja ili mrudi nae baada ya kula sikukuu hamna miujiza
 
Halafu Pinda mwenyewe anakaa Zuzu hala lami hakuna haya matumizi ya Kodi zetu ni shida Kwa kweli.
 
Hiyo kuandika "Last 1 seat" ni kawaida sana kwenye booking za ndege. Inunue uone kama hutakuta bado wanasema kuna seat 1. Hapo wanakupa jamba jamba ulipe fasta kumbe pipa lina mtu saba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bora ule wa Pinda, hajajenga kijijini kwao Majimoto. Upo Mpanda mjini ambapo ni mkoani kabisa.
 
Ni kweli katoro ime changamka ila imechangamshwa na watu wa aina gani? wana kitapato cha kupanda ndege?
 
Kwa Upande wa Uwanja wa Pinda umepotosha vibaya sana. Kwanza ujenzi wa Uwanja ulifadhiriwa na UNHCR wakati wa vuguvugu la Wakimbizi toka Burundi.
Juzi tarehe 27/12 mimi bimafsi nimetumia Uwanja huo na kwa Wiki ndege za ATCL zinapiga ruti 3 yaani Jumamosi, Jumanne na Alhamisi. Tuache upotoshaji na kutafuta sifa za kijinga hapa JF wakati hata hivyo viwanja hatujawahi kufika na huenda hata ndege yenyewe hujawahi panda kutwa kucha ni kuwashwa.
 
Hiyo ni kawaida, uki book kuwahi seat, utakuta hivyo hivyo 1 last seat, ukipanda mnajikuta mko 20
 
Hata Ile ndege ya Bei powa ilipoanza kwenda Mby ilikua hivyo. Wanyakyusa walipoionja imedorora mpaka sasa inazurura huko kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…