The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,674
Ndio ufyatu mwingine huu..nilienda CCM lini?
Opps nimesema CCM kumbe?
Nilimaanisha taasisi yenu ilee..
Ndio ufyatu mwingine huu..nilienda CCM lini?
Hata wewe huna tofauti na hao
wapo wengi kwenye hilo group; wapo akina nyani ngabu, mtizamo na wengine wengi. sasa ni mwendo wa U-turn mpaka anakapokuja yule wa kwao. hawana national interest kabisa zaidi ya unafiki. wapuuzi!Taratibu unarudi upinzani now
Dokta Slaa vipi?Nae ata join?..
Taratibu Tu mwisho utarudi kuwa think tank ya Chadema again..Hadi aje Rais wa 'taasisi' yenu mwingine ndo utarudi tena Ccm..
Tunakuelewa sana
wapo wengi kwenye hilo group; wapo akina nyani ngabu, mtizamo na wengine wengi. sasa ni mwendo wa U-turn mpaka anakapokuja yule wa kwao. hawana national interest kabisa zaidi ya unafiki. wapuuzi!
Miaka yote inajukikana kuwa polisi ni FFF, if you know what I mean!Nimesoma document za mashitaka ya kina Mbowe nikakata shauri moja; kwamba Polisi wetu ni baadhi ya mambumbumbu diniani. Kumbe ugaidi wa Mbowe ni katika kutoa fedha za kampeni za makongamano ya katiba?
I see you got my dick in your mouth!wapo wengi kwenye hilo group; wapo akina nyani ngabu, mtizamo na wengine wengi. sasa ni mwendo wa U-turn mpaka anakapokuja yule wa kwao. hawana national interest kabisa zaidi ya unafiki. wapuuzi!
Bridge had been burnedHawezi. Lile daraja aliisha lichoma moto zamani. Yeye na Dokta Slaa. Hata hapa anataka Mbowe akae ndani mpaka siku ambayo dola itaamua kumwachia.
Amandla...
Sisi tulimpinga mwendazake akiwa hai Hadi sasa akiwa hayupo. Na hatuangalia yeye wa dini gani?Mwendazake alifanya vibaya hadi shetani akamkana lakini hukuona.
Tuache sisi tuliozoea kwa kuuliza,kukaripia na hata kupiga kelele bila kujali dini ya mtu au kabila lake.
MMK,THE BIG SHOW Ritz Baba yenu mmoja wajomba tofauti.
Wewe kimada cha Madelu Umeelewa??Duh happy friday!
Magufuli alikuwa rais bora kuwahi kutokea nchi hii..mtu mwenye uthubutu na asieyumbishwa...historia na muda utaongeaSisi tulimpinga mwendazake akiwa hai Hadi sasa akiwa hayupo. Na hatuangalia yeye wa dini gani?
Na sio kwamba sisi ni chadema au la
Kuna Mambo ambayo nilimuunga mwendazake alifanya uamuzi mzuri mfano hili la SGR alifanya uamuzi wenye tija kwa taifa japo sijui hela zake alipanga kuzipaje pataje?
Mengine mengi ni ukakasi mtupu
Hata huyo mama nae tutamkosoa bila kumuonea kijicho kuhusu dini yake ,asili take, au jinsia yake.
Hilo ndilo jambo muhimu. Kama kesi ni ya kubambikiwa au vinginevyo, itajulikana huko mahakamani.tulieni kwanza mahakama ifanye kazi yake,Kama ni gaidi ni gaidi tu,hata mumuimbie mapambio haitaondoa ukweli...
Hahahaah dah Naona akili zinarudiTaratibu unarudi upinzani now
Dokta Slaa vipi?Nae ata join?..
Taratibu Tu mwisho utarudi kuwa think tank ya Chadema again..Hadi aje Rais wa 'taasisi' yenu mwingine ndo utarudi tena Ccm..
Tunakuelewa sana
Shetani ni nani ili tuepukane naye?!Tunaposema Msishirikiane na shetani muwe mnaelewa , wewe ni miongoni mwa washirika wa Shetani , sasa unapoandika haya unashangaza sana !
Hao Polisi ni tambala la deki tu, huu ujinga wa kumuita MBOWE gaidi umepangwa na wakina samia na wahuni wenzakeNimesoma document za mashitaka ya kina Mbowe nikakata shauri moja; kwamba Polisi wetu ni baadhi ya mambumbumbu diniani. Kumbe ugaidi wa Mbowe ni katika kutoa fedha za kampeni za makongamano ya katiba?
Umeambiwa subiri ushahidi,wewe unatoa hukumu kwa kusoma mashitaka?Nimesoma document za mashitaka ya kina Mbowe nikakata shauri moja; kwamba Polisi wetu ni baadhi ya mambumbumbu diniani. Kumbe ugaidi wa Mbowe ni katika kutoa fedha za kampeni za makongamano ya katiba?
Naona siku toka msikie akili na kigogo Chademe mmesambaratika mna akili kweli nyie mtu hajulikani anawashikia akili vipi mbona hamna maandamano?Mwendazake alifanya vibaya hadi shetani akamkana lakini hukuona.
Tuache sisi tuliozoea kwa kuuliza,kukaripia na hata kupiga kelele bila kujali dini ya mtu au kabila lake.
MMK,THE BIG SHOW Ritz Baba yenu mmoja wajomba tofauti.
View attachment 1883080
Unaweza kumuita mtu chechote kile; lakini kumuita mtu tu kitu hakimfanyi mtu kuwa kitu kile. Ni kweli kwamba kuna majina mwingine ukimuita mtu unamvunjia heshima, hadhi, na utu wake mbele ya jamii. Kwa mfano, mtu ameachana na mke wake au mume wake lakini kwa sababu ya machungu ya kuachana anaenda na kumtangaza kuwa "yule alikuwa malaya" au "alikuwa mlevi" n.k Sasa watu wengine wanaweza kweli kuamini na wao wanaweza kueneza habari hizo kuwa "yule alikuwa malaya". Hata ukimuuliza alijuaje atasema "jamaa yake walioachana" ndio alimuambia.
Kwenye siasa hili nalo ni kweli. Kuna mambo unaweza kumuita mpinzani wako wa kisiasa ili kumvunjia heshima, hadhi, na utu. Na wakati mwingine unaweza kumuita kitu ili kumharibia nafasi zake za kisiasa. Sote tunajua jinsi gani jina aliloitwa Dkt. Salim A. Salim lilivyomvurugia nafasi yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano 1995. Na tumeona mbinu hii ikitumiwa karibu na pande zote za kisiasa nchini - unaweza kuwaita watu "wachochezi" au "mafisadi" au unaweza kumuita mtu jina lolote.
Hata hivyo, linapokuja suala la kisheria - ambalo ni tofauti na la kisiasa - ukimuita mtu jina na mkaenda mahakamani basi suala huko ni ushahidi na uzito wa ushahidi huo (preponderance of evidence). Ndio maana kuna kesi za kumtangaza mtu vibaya au kumzushia ubaya (libel and defamation). Dkt. Salim huyo huyo aliwahi kushinda mamilioni ya hela dhidi ya gazeti la The East African miaka kadhaa nyuma kutokana na makala yao moja hivi.
Sasa Mbowe amedaiwa kuwa ni "Ghaidi" na jeshi la polisi. Kwa vile hili ni suala la mahakamani na la kisheria basi ni jukumu la mleta mashtaka kuleta ushahidi usio na shaka wa ughaidi huo. Na ili kitu kiwe ushahidi ni lazima kikidhi matakwa ya kisheria. Kusema tu "tuna ushahidi" hakufanyi ushahidi huo kukubalika mahakamani. Ni kwa sababu hiyo binafsi nasubiria kuona hicho kinachoitwa "ushahidi" hasa utakaposimama na kuhojiwa na upande wa utetezi na kupimwa kwa mwanga wa sheria kuona kama unaweza kumtia mtu hatiani.
Nje ya hapo, inawezekana hili la "ughaidi" linatumika tu tena kisiasa kama nilivyoelezea hapo juu. Kinachotakiwa kufanyika siyo tu kutaka kesi ifutwe au iondolewe bali iachwe iendelee mahakamani ili ushahidi uletwe, vieleleze viletwe ili kwa mara moja na daima uamuzi wa mahakama utolewe juu ya tuhuma hizi. CHADEMA wasitake tu viongozi wao waachiliwe pasipo masharti bali watake haki itendeke na kesi iharakishwe.
Kwani, kumuita mtu ughaidi hakumfanyi kuwa ghaidi bali ushahidi usio na shaka (siyo wa kupika) unaoweza kumtia hatiani mtu katika mahakama yoyote iliyo huru.
Haki Itendeke na Ionekane Inatendeka na Imetendeka kama inavyotakiwa kutendeka bila kuteteleka.
MMM
Magufuli alikuwa rais bora kuwahi kutokea nchi hii..mtu mwenye uthubutu na asieyumbishwa...historia na muda utaongea