one b
JF-Expert Member
- Jun 30, 2017
- 1,483
- 3,727
Alijitahid sana sana...Ukweli mtupu, watanzania ni watu wa ushabiki kwenye kila jambo. Ukitazama hii issue bila kuwa biased Bashe alichukua hatua sahihi kulinusuru taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijitahid sana sana...Ukweli mtupu, watanzania ni watu wa ushabiki kwenye kila jambo. Ukitazama hii issue bila kuwa biased Bashe alichukua hatua sahihi kulinusuru taifa.
Wewe nawe unaonekana huna unachokijua kwenye sekta ya sukari. Badala ya kujibu hoja za msingi unakuja na ngonjera. Huyo mtu hapo juu kakuuliza maswali ya msingi ngoja na mimi nikuongezee mengine japo najua huwezi kujibu!Unamwamini Mpina?? Hayo ni maelezo ya Mpina copy and paste. Mengi ni ya uongo. Na ndio maana anakwenda kula rungu zito kule bungeni.
Sasa huu ni uchiz...tokea lin mimi nikawa chawa..kwa nn hampendi ukweli?Kataa uchawa , kataa kutumika na Bashe. Shida.
Mbona ushoga upo bungeni hukemei. Mbona Kuna Kiongozi anatuhumiwa Kwa usagaji na hamsemi.Achana na mambo ya kimarekani hayo ya gen z sijui. Kesho watataka muwe mashoga na mtakubali, kwanini vijana wa ki Afrika mnapenda kuigaiga mambo ya wazungu nyie??
Ndugu yangu tuache ushabiki wala upendeleo si kwa waagizaji wala waziri bali tuchambue kwa undani,Bashe alitafuta mtu yeyote mwenye nia na uwezo wa kuleta sukari alete ili kuumaliza mchezo mchafu wa wale washenzi.
Na kweli wate walileta na tatizo likaisha. Tena sheria inakwenda kubadilisha, bodi ya sukari na wao watakuwa na mamlaka ya kuagizi. Hao waiinga hawatorudia kuleta upumbavu wa kutengeneza uhaba wa sukari nchini.
Bashe alitafuta mtu yeyote mwenye nia na uwezo wa kuleta sukari alete ili kuumaliza mchezo mchafu wa wale washenzi.
Na kweli wate walileta na tatizo likaisha. Tena sheria inakwenda kubadilisha, bodi ya sukari na wao watakuwa na mamlaka ya kuagizi. Hao waiinga hawatorudia kuleta upumbavu wa kutengeneza uhaba wa sukari nchini.
Unataka tumwamini Bashe wa BBT?. Unachekesha sanaUnamwamini Mpina?? Hayo ni maelezo ya Mpina copy and paste. Mengi ni ya uongo. Na ndio maana anakwenda kula rungu zito kule bungeni.
Pitia uzi namba 46 nimekujibu baadhi na haya mengine nakujibuWewe nawe unaonekana huna unachokijua kwenye sekta ya sukari. Badala ya kujibu hoja za msingi unakuja na ngonjera. Huyo mtu hapo juu kakuuliza maswali ya msingi ngoja na mimi nikuongezee mengine japo najua huwezi kujibu!
1. Unajua jumla ya mahitaji ya sukari kwa nchi nzima ya Tanzania kwa mwaka?
2. Unajua capacity ya uzalishaji ya viwanda vyote vilivyopo Tanzania kwa mwaka?
3. Unaijua kwamba kuna capacity gap kati ya kinachozalishwa na kinachopungua?
4. Huo unaouita uhaba wa kutengenezwa, ni ndani ya ile gap au ni nje?
5. Unajua ni kwanini sukari ya nje inauzwa bei rahisi kuliko inayozalishwa Tanzania?
6. Kama sukati ya nje ni rahisi kuliko ya Tz, serikali inaporuhusu sukari ya nje i "flood the market" unataka nini kitokee kwa viwanda vyetu vya ndani?
7.
Hayo umemsema wewe. Kasome kwanza kuhusu msimu wa uhaba wa Sukari Tanzania Yani gap sugar. Magufuli mwenyewe aliagiza Sukari Uganda. Muwe mnasikiliza bunge sio maneno ya mtaani.Cha
Huna haja ya kuongea mengi. La muhimu wananchi tumeepukana na uhaba wa sukari uliotengenezwa na cartels. Hiyo sukari ya viwanda vya ndani inatusaidia nini kama inafichwa ili kutengeneza uhaba. Bashe, endelea kuwanyoosha hao cartels.
Ndugu yangu, kwa mlolongo wa kodi na ukiritimba uliowekwa na serikali, hakuna siku itakuja kutokea sukari ya Tanzania (au bidhaa nyingine yoyote inayozalishwa nchini) kuwa na bei nafuu kuliko inayotoka nje! Never!!Watengeneze mazingira ambayo yatakuwa competitive kwao kushindana na viwanda vya nje hata sukari ikiingizwa nchini ya kwao ndo iwe bei nafuu kuliko hiyo iliyokuwa imported!!
Thank you!Unazidi kupotea.
Unajua sheria ya kuagiza Sukari inayopelea, inasemaje ?.
Na Bashe alitoa Vibali hivo lini?.
Upungufu wa Sukari ni sakata alolitengeneza BASHE MWENYEWE.
Hata usipojibu ni sawa tu maana mimi mwenyewe majibu ninayo.Pitia uzi namba 46 nimekujibu baadhi na haya mengine nakujibu
Wakuu tukumbuke kwenye post kama hizi tusiache kuweka hashtag yetuKwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa nchini.
Sukari ya nchi za nje kama vile Brazil na Maritius ni bei poa mno, kwahiyo hawa mabwana walikuwa na kila motisha ya kutafuta namna ya kutengeneza uhaba wa sukari ili wapewe vibali vya kuagiza..
Alichokifanya waziri Bashe sio tu ni uamizi sahihi bali ni uamizi wa kizalendo, nchi haiwezi kuwa inashikwa mateka na genge la watu wachache.
Going foward hii ndio iwe dawa, tuendelee kulilinda soko la wazalishaji wa ndani lakini pale kunapotokea uhaba basi yeyote mwenye uwezo apewe kibali cha kuagiza sukari haraka iwezekanavyo.
Hongera Mh. Bashe kwa kufikiri nje ya box na kuthubutu. Kwenye hili Mpina amechemka, yaani nchi ikose bidhaa muhimu kwasababu tu kuna wapuuzi wanajivutavuta kuagiza sukari?? Thubutu!
Simwamini Mpina bali nimeziamini vielelezo barua alizo ambatanisha zilizopokelewa na bodi ya sukari pia zilirejelewa na kamati ya bunge. Sema na huiamini kamati ya bunge?Unamwamini Mpina?? Hayo ni maelezo ya Mpina copy and paste. Mengi ni ya uongo. Na ndio maana anakwenda kula rungu zito kule bungeni.
Kasome kwanza kuhusu gap sugar ndio uje uropoke hapa. Tatizo hamsomi hata mzizi wa mgogoro huu mmebakia kusifia wanasiasa. Kafanye utafiti kuhusu muda ambao Sukari huadimika Tanzania. Kuna kipindi Cha Magufuli serikali ilitoa kubali Cha kuagiza Sukari kutoka Uganda.
Kwahiyo tatizo la mh waziri Bashe ni kutaja mwezi wa Ramadhani !? Angesema kabla ya pasaka angekuwa waziri bora sana.?!Wee Ni mshe z Sana pmj na Huyu Bashe wako
Siku nilivyo muona Bashe Ni kichaaa na akili zake Ni za kisomali Ni pale alivyotuambia kuwa sukari itapatikan kwa wingi kbl ya mwez mtukufu wa ramadhani nonsense kbsaa mdini mkubwaa
Jina lako limeniacha hoi...Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa nchini.
Sukari ya nchi za nje kama vile Brazil na Maritius ni bei poa mno, kwahiyo hawa mabwana walikuwa na kila motisha ya kutafuta namna ya kutengeneza uhaba wa sukari ili wapewe vibali vya kuagiza..
Alichokifanya waziri Bashe sio tu ni uamizi sahihi bali ni uamizi wa kizalendo, nchi haiwezi kuwa inashikwa mateka na genge la watu wachache.
Going foward hii ndio iwe dawa, tuendelee kulilinda soko la wazalishaji wa ndani lakini pale kunapotokea uhaba basi yeyote mwenye uwezo apewe kibali cha kuagiza sukari haraka iwezekanavyo.
Hongera Mh. Bashe kwa kufikiri nje ya box na kuthubutu. Kwenye hili Mpina amechemka, yaani nchi ikose bidhaa muhimu kwasababu tu kuna wapuuzi wanajivutavuta kuagiza sukari?? Thubutu!
Yaan haya ni madhara ya shule za kata. Mwashambwa et al.Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa nchini.
Sukari ya nchi za nje kama vile Brazil na Maritius ni bei poa mno, kwahiyo hawa mabwana walikuwa na kila motisha ya kutafuta namna ya kutengeneza uhaba wa sukari ili wapewe vibali vya kuagiza..
Alichokifanya waziri Bashe sio tu ni uamizi sahihi bali ni uamizi wa kizalendo, nchi haiwezi kuwa inashikwa mateka na genge la watu wachache.
Going foward hii ndio iwe dawa, tuendelee kulilinda soko la wazalishaji wa ndani lakini pale kunapotokea uhaba basi yeyote mwenye uwezo apewe kibali cha kuagiza sukari haraka iwezekanavyo.
Hongera Mh. Bashe kwa kufikiri nje ya box na kuthubutu. Kwenye hili Mpina amechemka, yaani nchi ikose bidhaa muhimu kwasababu tu kuna wapuuzi wanajivutavuta kuagiza sukari?? Thubutu!
Hao wanaoitwa "hawana vigezo" wameleta sukari au wameshindwa?? Kama wameweza kuleta unawaita vipi kuwa hawana uwezo??
Kuhusu kuagiza sukari nyingi kuliko takwimu za uhaba hilo mbona liko wazi kama unatumia akili vizuri!! Actually ningemshangaa Bashe kama wangeagiza exactly kiwango kinachotakiwa.
Iko hivi, uhaba ulikuwa ni wa kutengenezwa na wahuni, hata ukiagiza sukari kidogo basi wanainunua yote na kuificha ili uhaba uendelee kuwepo, ili kukomesha hilo unatakiwa kuagiza kuwango cha kutosha ku "flood the market", kwamba haitowezekana tena wahuni hao kuinunua na kuificha.
To answer your first question, Yes ninazo akili tena nyingi sana na nakielewa ninachokiandika kwa undani kuliko unavyodhani. Ninalifamau soko la sukari nchini sio kwa kusimuliwa bali kwa kushiriki![]()