Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

Unamwamini Mpina?? Hayo ni maelezo ya Mpina copy and paste. Mengi ni ya uongo. Na ndio maana anakwenda kula rungu zito kule bungeni.
Wewe nawe unaonekana huna unachokijua kwenye sekta ya sukari. Badala ya kujibu hoja za msingi unakuja na ngonjera. Huyo mtu hapo juu kakuuliza maswali ya msingi ngoja na mimi nikuongezee mengine japo najua huwezi kujibu!

1. Unajua jumla ya mahitaji ya sukari kwa nchi nzima ya Tanzania kwa mwaka?
2. Unajua capacity ya uzalishaji ya viwanda vyote vilivyopo Tanzania kwa mwaka?
3. Unaijua kwamba kuna capacity gap kati ya kinachozalishwa na kinachopungua?
4. Huo unaouita uhaba wa kutengenezwa, ni ndani ya ile gap au ni nje?
5. Unajua ni kwanini sukari ya nje inauzwa bei rahisi kuliko inayozalishwa Tanzania?
6. Kama sukati ya nje ni rahisi kuliko ya Tz, serikali inaporuhusu sukari ya nje i "flood the market" unataka nini kitokee kwa viwanda vyetu vya ndani?
7.
 
Achana na mambo ya kimarekani hayo ya gen z sijui. Kesho watataka muwe mashoga na mtakubali, kwanini vijana wa ki Afrika mnapenda kuigaiga mambo ya wazungu nyie??
Mbona ushoga upo bungeni hukemei. Mbona Kuna Kiongozi anatuhumiwa Kwa usagaji na hamsemi.
 
Bashe alitafuta mtu yeyote mwenye nia na uwezo wa kuleta sukari alete ili kuumaliza mchezo mchafu wa wale washenzi.

Na kweli wate walileta na tatizo likaisha. Tena sheria inakwenda kubadilisha, bodi ya sukari na wao watakuwa na mamlaka ya kuagizi. Hao waiinga hawatorudia kuleta upumbavu wa kutengeneza uhaba wa sukari nchini.
Ndugu yangu tuache ushabiki wala upendeleo si kwa waagizaji wala waziri bali tuchambue kwa undani,

1. Je unajua maana na namna ya utakatishaji wa fedha za serikali?

Tufanye kuwa "Inawezekana" wazalishaji walikuwa na nia ya kusababisha uhaba wa sukari, je kwa uwezo na mamlaka aliyonayo Waziri alishindwaje kupata makampuni halali kisheria kuliko makampuni ya kutengeneza mfukoni kwa lengo la kupitisha hela.

2. Sawa sukari iliingizwa, je kama kweli kulikuwa na nia ya kuwasaidia wananchi mbona sukari hiyo hiyo iliuzwa bei ghali zaidi.

3. Je hauoni kuwa hata Waziri "anaweza" kuwa alitumia nia hiyo hiyo iliyokuwa kwa wazalishaji na yeye akatakatisha fedha hizo kupitia makampuni hewa akijua kuwa hoja ya utetezi wake itawaangukia wazalishaji na DHARULA?

4. Nakubaliana na Dharula kuwa inaweza kubadilisha na kutengua baadhi ya taratibu lakini ukifuatilia kwa makini bila mihemko ya uchawa utaona kuwa;

Waziri alijiridhisha na kulitangazia bunge kuwa uhaba wa sukari ulikuwa dhahiri/ halisi na si wa kutengeneza kutokana na uwepo wa elnino

Na kumbe ktk uhaba huu ndipo fursa hii ikawa inagombaniwa kiufundi kati ya wazalishaji na waziri wote wawili wakiwa na nia ya kujinufaisha kwa namna yake na hatimaye waziri mwenye dhamana akashinda na kuweza kutumia fursa hii kiustadi kutakatisha fedha. HAPA NDIPO TUNALALAMIKA KUWA WAZIRI KUTUMIA UDHAIFU WA IDARA KUJINUFAISHA YEYE BADALA YA KUWASAIDIA WANANCHI NI MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA, UBADHILIFU NA UTAKATISHAJI WA FEDHA.
Bashe alitafuta mtu yeyote mwenye nia na uwezo wa kuleta sukari alete ili kuumaliza mchezo mchafu wa wale washenzi.

Na kweli wate walileta na tatizo likaisha. Tena sheria inakwenda kubadilisha, bodi ya sukari na wao watakuwa na mamlaka ya kuagizi. Hao waiinga hawatorudia kuleta upumbavu wa kutengeneza uhaba wa sukari nchini.
 
Wewe nawe unaonekana huna unachokijua kwenye sekta ya sukari. Badala ya kujibu hoja za msingi unakuja na ngonjera. Huyo mtu hapo juu kakuuliza maswali ya msingi ngoja na mimi nikuongezee mengine japo najua huwezi kujibu!

1. Unajua jumla ya mahitaji ya sukari kwa nchi nzima ya Tanzania kwa mwaka?
2. Unajua capacity ya uzalishaji ya viwanda vyote vilivyopo Tanzania kwa mwaka?
3. Unaijua kwamba kuna capacity gap kati ya kinachozalishwa na kinachopungua?
4. Huo unaouita uhaba wa kutengenezwa, ni ndani ya ile gap au ni nje?
5. Unajua ni kwanini sukari ya nje inauzwa bei rahisi kuliko inayozalishwa Tanzania?
6. Kama sukati ya nje ni rahisi kuliko ya Tz, serikali inaporuhusu sukari ya nje i "flood the market" unataka nini kitokee kwa viwanda vyetu vya ndani?
7.
Pitia uzi namba 46 nimekujibu baadhi na haya mengine nakujibu
 
Cha

Huna haja ya kuongea mengi. La muhimu wananchi tumeepukana na uhaba wa sukari uliotengenezwa na cartels. Hiyo sukari ya viwanda vya ndani inatusaidia nini kama inafichwa ili kutengeneza uhaba. Bashe, endelea kuwanyoosha hao cartels.
Hayo umemsema wewe. Kasome kwanza kuhusu msimu wa uhaba wa Sukari Tanzania Yani gap sugar. Magufuli mwenyewe aliagiza Sukari Uganda. Muwe mnasikiliza bunge sio maneno ya mtaani.
 
Watengeneze mazingira ambayo yatakuwa competitive kwao kushindana na viwanda vya nje hata sukari ikiingizwa nchini ya kwao ndo iwe bei nafuu kuliko hiyo iliyokuwa imported!!
Ndugu yangu, kwa mlolongo wa kodi na ukiritimba uliowekwa na serikali, hakuna siku itakuja kutokea sukari ya Tanzania (au bidhaa nyingine yoyote inayozalishwa nchini) kuwa na bei nafuu kuliko inayotoka nje! Never!!
 
Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.

Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa nchini.

Sukari ya nchi za nje kama vile Brazil na Maritius ni bei poa mno, kwahiyo hawa mabwana walikuwa na kila motisha ya kutafuta namna ya kutengeneza uhaba wa sukari ili wapewe vibali vya kuagiza..

Alichokifanya waziri Bashe sio tu ni uamizi sahihi bali ni uamizi wa kizalendo, nchi haiwezi kuwa inashikwa mateka na genge la watu wachache.

Going foward hii ndio iwe dawa, tuendelee kulilinda soko la wazalishaji wa ndani lakini pale kunapotokea uhaba basi yeyote mwenye uwezo apewe kibali cha kuagiza sukari haraka iwezekanavyo.

Hongera Mh. Bashe kwa kufikiri nje ya box na kuthubutu. Kwenye hili Mpina amechemka, yaani nchi ikose bidhaa muhimu kwasababu tu kuna wapuuzi wanajivutavuta kuagiza sukari?? Thubutu!
Wakuu tukumbuke kwenye post kama hizi tusiache kuweka hashtag yetu

#KataaMachawa
#KataaUozo2024
 
Unamwamini Mpina?? Hayo ni maelezo ya Mpina copy and paste. Mengi ni ya uongo. Na ndio maana anakwenda kula rungu zito kule bungeni.
Simwamini Mpina bali nimeziamini vielelezo barua alizo ambatanisha zilizopokelewa na bodi ya sukari pia zilirejelewa na kamati ya bunge. Sema na huiamini kamati ya bunge?

Ama juu ya kupigwa rungu kwa Mpina, hapigwi rungu kwa sababu ya uongo au ukweli wa nyaraka au maelezo yake bali atapigwa rungu kwa sababu za ama kimaadili yaani kutoa habari za kimaamuzi zilizowasishwa sehemu kabla ya kufanyiwa kazi. Hapo nadhani utakuwa umeelewa.
 
Kasome kwanza kuhusu gap sugar ndio uje uropoke hapa. Tatizo hamsomi hata mzizi wa mgogoro huu mmebakia kusifia wanasiasa. Kafanye utafiti kuhusu muda ambao Sukari huadimika Tanzania. Kuna kipindi Cha Magufuli serikali ilitoa kubali Cha kuagiza Sukari kutoka Uganda.

Tatizo la kuagizwa hiyo sukari nn haswa? Ni kuogopa ushindani? Sisi walaji wa mwisho tunachotaka ni bei nafuu na maisha yetu yawe nafuu.

Mambo ya kulia lia kumuumiza mwananch hatutaki. Kwamba viwanda vilindwe sukari iadimike then tuuziwe tena bei ya juu? Acha sukari iwe nyingi nchini, wiwanda vizalishe, wafanyabiashara waagize,, bei zishuke, na wao watatafuta masoko ya nje wakashindane na wenzao huko!!
 
Wee Ni mshe z Sana pmj na Huyu Bashe wako

Siku nilivyo muona Bashe Ni kichaaa na akili zake Ni za kisomali Ni pale alivyotuambia kuwa sukari itapatikan kwa wingi kbl ya mwez mtukufu wa ramadhani nonsense kbsaa mdini mkubwaa
Kwahiyo tatizo la mh waziri Bashe ni kutaja mwezi wa Ramadhani !? Angesema kabla ya pasaka angekuwa waziri bora sana.?!
Ni kweli alivyosema Allaah katika Quran kwamba:,
" قد بدت البغضاء من أفواههم و ما تخفي صدورهم أكبر"
" CHUKI (zao hao makafiri ) zimeshadhihiri kupitia vinywa vyao
( na ndimi zao) na wanayoyaficha vifuani (nyoyoni ) mwao ni makubwa zaidi."
Mimi si shabiki kabisa wa serikali ya rais Samia, isipokuwa napoona watu kama wewe wanaokosoa uongozi kwa kuangalia dini ya kiongozi husika nalazimika na mimi kumtetea yule anayedhalilishwa kwa ajili ya dini yake!.
 
Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.

Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa nchini.

Sukari ya nchi za nje kama vile Brazil na Maritius ni bei poa mno, kwahiyo hawa mabwana walikuwa na kila motisha ya kutafuta namna ya kutengeneza uhaba wa sukari ili wapewe vibali vya kuagiza..

Alichokifanya waziri Bashe sio tu ni uamizi sahihi bali ni uamizi wa kizalendo, nchi haiwezi kuwa inashikwa mateka na genge la watu wachache.

Going foward hii ndio iwe dawa, tuendelee kulilinda soko la wazalishaji wa ndani lakini pale kunapotokea uhaba basi yeyote mwenye uwezo apewe kibali cha kuagiza sukari haraka iwezekanavyo.

Hongera Mh. Bashe kwa kufikiri nje ya box na kuthubutu. Kwenye hili Mpina amechemka, yaani nchi ikose bidhaa muhimu kwasababu tu kuna wapuuzi wanajivutavuta kuagiza sukari?? Thubutu!
Jina lako limeniacha hoi...

Mzalendo Uchwara.... Dah!

Mi nimekuelewa lakini. Jina lako limenisaidia sana kukuelewa mapema...
 
Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.

Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa nchini.

Sukari ya nchi za nje kama vile Brazil na Maritius ni bei poa mno, kwahiyo hawa mabwana walikuwa na kila motisha ya kutafuta namna ya kutengeneza uhaba wa sukari ili wapewe vibali vya kuagiza..

Alichokifanya waziri Bashe sio tu ni uamizi sahihi bali ni uamizi wa kizalendo, nchi haiwezi kuwa inashikwa mateka na genge la watu wachache.

Going foward hii ndio iwe dawa, tuendelee kulilinda soko la wazalishaji wa ndani lakini pale kunapotokea uhaba basi yeyote mwenye uwezo apewe kibali cha kuagiza sukari haraka iwezekanavyo.

Hongera Mh. Bashe kwa kufikiri nje ya box na kuthubutu. Kwenye hili Mpina amechemka, yaani nchi ikose bidhaa muhimu kwasababu tu kuna wapuuzi wanajivutavuta kuagiza sukari?? Thubutu!
Yaan haya ni madhara ya shule za kata. Mwashambwa et al.
 
Aisee kwa hatua alizochukua Bashe huniambii kitu. Ni hatua nzuri na aendelee hivyo hivyo. Achana na Mpina anayetumiwa na wenye viwanda kumkwamisha. Kwa hili naomba tukubaliane kutokukubaliana.
 
Hao wanaoitwa "hawana vigezo" wameleta sukari au wameshindwa?? Kama wameweza kuleta unawaita vipi kuwa hawana uwezo??

Kuhusu kuagiza sukari nyingi kuliko takwimu za uhaba hilo mbona liko wazi kama unatumia akili vizuri!! Actually ningemshangaa Bashe kama wangeagiza exactly kiwango kinachotakiwa.

Iko hivi, uhaba ulikuwa ni wa kutengenezwa na wahuni, hata ukiagiza sukari kidogo basi wanainunua yote na kuificha ili uhaba uendelee kuwepo, ili kukomesha hilo unatakiwa kuagiza kuwango cha kutosha ku "flood the market", kwamba haitowezekana tena wahuni hao kuinunua na kuificha.

To answer your first question, Yes ninazo akili tena nyingi sana na nakielewa ninachokiandika kwa undani kuliko unavyodhani. Ninalifamau soko la sukari nchini sio kwa kusimuliwa bali kwa kushiriki :Clueless:

Acha kutetea wizi, na matumizi mabaya ya ofisi aliyofanya bashe na viongozi wenzake.
Kampuni ya Richmond si ilideliver vizuri kutatua tatizo la umeme?
Baadae ikaonekana ni kampuni ambayo haikuwa na sifa wala vigezo vya kufanya kazi waliyopewa pamoja na ukiukwaji mkubwa wa taratibu uliofanywa hadi wakapewa tenda. Ila kazi walifanya vizuri na walikuwa wanaendelea kuzalisha umeme vizuri kukabiliana na tatizo la umeme lililokuwepo kutokana na athari za ukame.
Si uliona spika sita alivyoshughulikia ile ishu yeye hakulipeleka lile suala kamati ya maadili ya bunge ichunguze na itoe ripoti bungeni na ukweli ukawekwa wazi.
Sasa huyu spika ameshangaza ameamua kumshtaki mtoa taarif kwenye kamati ya maadili kwa kuanika huo uovu hadharani.
Nasubiri kusikia taarifa ya hiyo Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge itavyodili na hilo suala ni vyema hiyo kamati ili ijijengee heshima ifanyie uchunguzi wa ukweli bila upendeleo taarifa ya mpina na itoe taarifa ya haki na kweli.
Kwa nini nguvu kubwa sana inatumika kutaka kumsulubu Mpina kwa kuiweka taarifa yake wazi badala ya kuchunguza ukweli wa taarifa ya hiyo ya Mpina? KUNA NINI HAPO?
Haihitaji degree kunusa kuna mchezo mchafu
 
Tatizo la Tanzania na Africa, tunazalisha tusivyohitaji na tunanunua tunavyohitaji.

Kagera, Mtibwa, TPC na sasa mzee bakhresa wa Bagamoyo Sugar wamewekeza mabilioni ya Shilingi wanaajiri maelfu ya watanzania na wanalipa kodi kubwa TRA, Halafu anainuka mpuuzi mmoja ambaye hajui nini maana ya kiwanda anawaita "GENGE LA SUKARI "

Kuondokana na tatizo hilo la bei kubwa tuvishirikishe viwanda vyetu, tuongeze ajira kwa watanzania na kodi itaongezeka. Tukiwapa mafisadi fursa ya kuagiza tutaua viwanda, ajira zitakosekana!!!
 
Back
Top Bottom