Tuache unafiki mtu usiku kucha umekesha unakula vyakula vya kutosha halafu next day unajifanya saumu imekazašŸ˜†

Waungwana wa hapa jukwaani sio vyema kufanya dhihaka, kejeli na dharau kwenye Imani za watu......

Jamii forum imejengwa katka misingi ya udugu, kupendana, kujadiliana na kuvumiliana....sio kwenye misingi ya kejeli, dharau na kashfa hasa kwenye mambo ya kiimani...

Mods kuendelea kuzichekea nyuzi za aina hii ni kuikosea heshima na taadhima jamiiforums....

"We dare to speak openly" kwenye mambo yenye kujenga na sio kukashfiana, kukejeliana katika namna ambayo inadhalilisha utu, na imani za watu!!!!
Wapi umedhihakiwa shehe?
 
Makafiri yanawashwa sana na funga ya waislamu.
Mnafunga nini sasa nyie nyau.
57046.jpg
 
Ni sawa na kusema umeweka full tank mafuta kwenye gari mpya Huku unamove halafu Kesho unajiuliza mbona mafuta hamna au yanaanza kuisha, ukishajiuliza maswali yanayofanana na Haya jua utakwenda kuwa mchawi au kuchanganyikiwa siku moja.
 
Waungwana wa hapa jukwaani sio vyema kufanya dhihaka, kejeli na dharau kwenye Imani za watu......

Jamii forum imejengwa katka misingi ya udugu, kupendana, kujadiliana na kuvumiliana....sio kwenye misingi ya kejeli, dharau na kashfa hasa kwenye mambo ya kiimani...

Mods kuendelea kuzichekea nyuzi za aina hii ni kuikosea heshima na taadhima jamiiforums....

"We dare to speak openly" kwenye mambo yenye kujenga na sio kukashfiana, kukejeliana katika namna ambayo inadhalilisha utu, na imani za watu!!!!
Dini ni upuuzi kama upuuzi mwingine, acha kuabudu ujinga..
 
Mnafunga nini sasa nyie nyau.
View attachment 3547698
Wivu tu kafiri mkubwa wewe.

Kwani waislamu wote wana uwezo wa kununua nyama na ubwabwa?

Kuna wengine hata huo uji wanaupata kwa tabu.

Halafu nikila kilo ya ubwabwa na nyama wewe inakuhusu nini?

Tumbo la kwako?

Nyinyi makafiri mbona mnauabudu mvaa vichupi msalabani sisi hatuwashobokei?
 
Huwa nashindwa kukupiga punch ngumu kwakuwa wewe ni mwananchi mwenzangu
Anyway
Salamaleko
 
Waacheni ndugu zetu watimize kile wanachoamini kwa amani. Sidhani kama wakristo kuna mahali tunaathirika kwa funga za wenzetu.

Hata hivyo funga ni kanuni ya kiafya, kama unadhani kuacha kula during daytime ni rahisi, for 30 days, kutokunywa maji during daytime for 30 days...basi una matatizo.

Let them fast!!!!!
 
Back
Top Bottom