Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
- Thread starter
- #41
😆Ni sawa na kusema umeweka full tank mafuta kwenye gari mpya Huku unamove halafu Kesho unajiuliza mbona mafuta hamna au yanaanza kuisha, ukishajiuliza maswali yanayofanana na Haya jua utakwenda kuwa mchawi au kuchanganyikiwa siku moja.