Tuache unafiki mtu usiku kucha umekesha unakula vyakula vya kutosha halafu next day unajifanya saumu imekaza😆

Tuache unafiki mtu usiku kucha umekesha unakula vyakula vya kutosha halafu next day unajifanya saumu imekaza😆

hahaha punguza mihemko makebo
Kuleta mada kama yako, ni zaidi ya mihemko, kwani watu kula misosi mizuri mizuri kwa imani zao inakuhusu nini wewe ?
Kama namna gani karibu futari ya muhogo wa jang'ombe au samaki changu japo kichwa
 
Back
Top Bottom