Tuache unafiki mtu usiku kucha umekesha unakula vyakula vya kutosha halafu next day unajifanya saumu imekaza😆

Wapi umedhihakiwa shehe?
 
Ni sawa na kusema umeweka full tank mafuta kwenye gari mpya Huku unamove halafu Kesho unajiuliza mbona mafuta hamna au yanaanza kuisha, ukishajiuliza maswali yanayofanana na Haya jua utakwenda kuwa mchawi au kuchanganyikiwa siku moja.
 
Dini ni upuuzi kama upuuzi mwingine, acha kuabudu ujinga..
 
Mnafunga nini sasa nyie nyau.
View attachment 3547698
Wivu tu kafiri mkubwa wewe.

Kwani waislamu wote wana uwezo wa kununua nyama na ubwabwa?

Kuna wengine hata huo uji wanaupata kwa tabu.

Halafu nikila kilo ya ubwabwa na nyama wewe inakuhusu nini?

Tumbo la kwako?

Nyinyi makafiri mbona mnauabudu mvaa vichupi msalabani sisi hatuwashobokei?
 
Huwa nashindwa kukupiga punch ngumu kwakuwa wewe ni mwananchi mwenzangu
Anyway
Salamaleko
 
Waacheni ndugu zetu watimize kile wanachoamini kwa amani. Sidhani kama wakristo kuna mahali tunaathirika kwa funga za wenzetu.

Hata hivyo funga ni kanuni ya kiafya, kama unadhani kuacha kula during daytime ni rahisi, for 30 days, kutokunywa maji during daytime for 30 days...basi una matatizo.

Let them fast!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…