πNi sawa na kusema umeweka full tank mafuta kwenye gari mpya Huku unamove halafu Kesho unajiuliza mbona mafuta hamna au yanaanza kuisha, ukishajiuliza maswali yanayofanana na Haya jua utakwenda kuwa mchawi au kuchanganyikiwa siku moja.
DahDini ni upuuzi kama upuuzi mwingine, acha kuabudu ujinga..
GenZ wanatikisa kila msingi just imagine hzi Iman zilikuwepo tangu zaman lkn haya maswali wameyaibua wao
Kias kwamba maswali yao ukiwauliza ata viongozi wa hzi dini lazma watajikanyaga kukupa majibu sahihi
Kwani unateseka?Binadamu always ni mnafiki,
Tatizo ni dhiki ya chakula inawaumizaMakafiri yanawashwa sana na funga ya waislamu.
Mnasumbuliwa na dhikichuki gani?
Hapa huwa ni kubadili masaa ya kula tu lakini volume inayopakiwa tumboni ni ileile au hata zaidi.Binadamu always ni mnafiki,
Uko zako Vingunguti huko mwezio kakulia Oyster Bay unamuita mlugaluga, watu wa Uswazi mna shida sana.Tatizo ni dhiki ya chakula inawaumiza
Kumbuka hawa ni walugaluga waliotoka maporini wameingia mjini juzijuzi
Wanashangazwa sana na karamu ya chakula kwa waislamu,
Waliingia mjini wamepauka kama vipande vya dodoki, huko walikotoka ni mlo mmoja kwa siku, kwa hiyo hawaamini kuna binadamu wenye uwezo kula milo mitatu achilia mbali vyakula vinavyopikwa mwezi wa ramadhani
Kwaresma ni ya nani??Makafiri yanawashwa sana na funga ya waislamu.
Nimecheka hadi mke wangu ananiuliza nacheka niniπππππ