Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Feb 25, 2026 Thread starter #61 Vincenzo Jr said: Nimecheka hadi mke wangu ananiuliza nacheka niniππππ Click to expand... ππ watu wanatia vitu mbavuni usiku kucha shehe
Vincenzo Jr said: Nimecheka hadi mke wangu ananiuliza nacheka niniππππ Click to expand... ππ watu wanatia vitu mbavuni usiku kucha shehe
Mwakikusi Senior Member Joined Jan 14, 2014 Posts 124 Reaction score 64 Feb 25, 2026 #62 Mpaka saa 10 asubuhi njaa itatokea wapi mchana
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,343 Reaction score 7,238 Feb 25, 2026 #63 Red black said: hahaha punguza mihemko makebo Click to expand... Kuleta mada kama yako, ni zaidi ya mihemko, kwani watu kula misosi mizuri mizuri kwa imani zao inakuhusu nini wewe ? Kama namna gani karibu futari ya muhogo wa jang'ombe au samaki changu japo kichwa
Red black said: hahaha punguza mihemko makebo Click to expand... Kuleta mada kama yako, ni zaidi ya mihemko, kwani watu kula misosi mizuri mizuri kwa imani zao inakuhusu nini wewe ? Kama namna gani karibu futari ya muhogo wa jang'ombe au samaki changu japo kichwa