Ndio nimekuambia andaa matusi kabisa ww na wenzako ya kulipiza kisasi. Kifo changu mke wangu atakitangaza hapa jukwaani. Kuna jingine boss kwa msaada zaidi?Ni sawa tu kwao kwa sababu hata wewe ni mtu wa kisasi, jiulize kama huna kisasi iweje mpaka leo unaongeleaga tu mambo ya mtu ambaye hayupo duniani kitambo tu sasa tena kwa matusi ya ajabu tu
Kweli..Tujifunze kuwa na hekima jaman siyo vizur hvyo mkuu
Kwa hiyo Aliye kuwa anataka connection ndio hakuwa rafiki wa kweli bali rafiki wa dhumuniMke wa Davis Mosha alimuonya mumewe amteme lemetuz siyo rafiki wa kweli. Magufuli aliposhinda urais na Davis mosha kukosa connection lemutuz akamkacha.
Ila R.I.P babu kijana.
Kwanza tujue kwamba siyo kila mtu anakuwa na followers,mfano mimi ukiniuliza ni nani na nani wananifuatilia nitakwambia sina sababu sina hulka au vyovyote ya ku-share ninayoyafanya ila kwa status ya Le Mutuz huyo alikuwa na watu wanamfuatilia so kwa vyovyote wapo watakaoona ni sahihi kwao kuiga baadhi ya matendo yake kumbe siyo.Kila mtu aliyeko kwenye mtandao ni lazima awe na maisha ya kuigwa na watu wote? Wewe ni mzee wa miaka mingapi?
Marehemu hasemwi kwa mabaya yake bali ni kwa mazuri tuMarafiki zake watakuambia marehemu hasemwi vibaya.
Mmmh mkuu mbona unatutisha? Siri ya familia ya Mzee malecela?????Usimuhukumu mtu bila kujua,siku nikiweka Siri ya familia ya Mzee malecrla hapa hata wewe ungekuwa zaidi ya lemutuz.
Lemutus alikuwa na msongo wa mawazo,alijua tu atakufa siku si nyingi
🤣🤣🤣Ndio nimekuambia andaa matusi kabisa ww na wenzako ya kulipiza kisasi. Kifo changu mke wangu atakitangaza hapa jukwaani. Kuna jingine boss kwa msaada zaidi?
... eti tungoje wengine; hongera kwa kuwa katika kundi la kungoja wengine!Huyo ameeenda bwana tungoje wengine😂😂
Huu uzi wako ukifika kesho salama shukuru Mungu.Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Was he a public figure?Kwanza tujue kwamba siyo kila mtu anakuwa na followers,mfano mimi ukiniuliza ni nani na nani wananifuatilia nitakwambia sina sababu sina hulka au vyovyote ya ku-share ninayoyafanya ila kwa status ya Le Mutuz huyo alikuwa na watu wanamfuatilia so kwa vyovyote wapo watakaoona ni sahihi kwao kuiga baadhi ya matendo yake kumbe siyo.
Haya mambo ya kutosema ukweli kuwahusu marehemu way back yalitesa sana jamii zetu,ilikuwa mtu kafa kwa ukimwi na anaonekana kabisa umemuuwa ukimwi risala inasema amekufa kwa homa ya manjano,lazima kama jamii tukubali madhaifu ya marehemu wetu halafu watu waambiwe hili lilikuwa sahihi hili halikuwa sahihi.
Hata mimi siku nikifa yatakuwa haya haya muhimu nitengeneze mapema kile ninachotaka kisemwe siku sipo.
Ni kweli ww unaweza kutangulia, lakini hakuna uwezekano wa mimi kuwatangulia nyie sukuma gang wote. Hivyo jipangeni kifo kikinikuta mlipize kisasi, maana najua ni kwa kiwango gani ninawaumiza wafuasi wa dhalimu.🤣🤣🤣
Acha mbwembwe Mkuu, umejuaje kama utatangulia wewe, kwa nini isiwe mke
Wewe usifanye hujui wakati kila kitu kiko wazi. Kwa zaidi ya 99% ya watu wamemjua marehemu kupitia mitandao, na kote huko marehemu aliona sifa na fahari kujitambulisha kama mpenda sifa, umalaya, ulevi, kuponda starehe na uchawa. Mtu wa namna hiyo, anawezaje kusemwa tofauti na hivyo?Alikuwa wa ovyo Kwa vigezo vya nani?
Kwa vigezo vyako binafsi?
Au Kwa imani yako ?
Why tunapenda Ku judge watu Kwa kupitia vigezo vyetu ambavyo sio universal??
Umalaya unaweza thibitisha?au picha za Instagram na warembo ndo uthibitisho?
Pombe?lini ulimuona akinywa? Au picha Akiwa wavuvi ndo ushahidi wako??
Why mnapenda kuishi kinafiki?kujifanya watu wema Kwa nje huku mna madhambi ya kutisha Kwa Siri huku mnahukumu watu Kwa picha za mitandaoni?
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.