Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
- Thread starter
-
- #61
Marehemu alipenda kusifiwa kama yeye ni mtu wa kuponda starehe kwa kiwango cha SGR, kwa hiyo tukionya jamii isiige maisha ya namna hiyo tutakuwa tumekosea?Marafiki zake watakuambia marehemu hasemwi vibaya.
Nakubaliana na wewe 100%Usimuhukumu mtu bila kujua,siku nikiweka Siri ya familia ya Mzee malecrla hapa hata wewe ungekuwa zaidi ya lemutuz.
Lemutus alikuwa na msongo wa mawazo,alijua tu atakufa siku si nyingi
Marehemu alikuwa ni mzee aliyechangamka.Kwan yule alikua kijana?
Kwa hiyo mtu akiwa na msongo wa mawazo ndio aishi kihuni?Usimuhukumu mtu bila kujua,siku nikiweka Siri ya familia ya Mzee malecrla hapa hata wewe ungekuwa zaidi ya lemutuz.
Lemutus alikuwa na msongo wa mawazo,alijua tu atakufa siku si nyingi
Hautaki picha unataka video ? Ukiletewa video pia sijui utataka niniWhy mnapenda kuishi kinafiki?kujifanya watu wema Kwa nje huku mna madhambi ya kutisha Kwa Siri huku mnahukumu watu Kwa picha za mitandaoni?
Na atazikwa na Padre km muumini mzuri wa Kanisa, Maisha ni fumboLe mutuz alikuwa mtu wa ovyo, vijana msiige maisha yake.
Na mimi nimestuka kuona anasema alikuwa anakunywa pombe, hakuwa anakunywa pombe kabisa kabisa...Maisha ya public yalikuwa kinyume kabisa na the person, William wa a very respectiful person...Mungu amrehemu!Angalau moja ya tuhuma naweza kumtetea. Alikuwa hanywi pombe kabisa. Hivyo hata mengine uliyondika yanaweza kuwa wrong!
Vyovyote itakavyokuwa lakini ujumbe umefika.Huu uzi wako ukifika kesho salama shukuru Mungu.
Msijaribu kuiga kabisa maisha yake.Kwahiyo kama alikua wa hovyo sisi tufanye je?
Karibu watu wote tumemfahamu marehemu kupitia mitandao kama mponda starehe na wakati wote marehemu aliona hayo ndio sifa na ufahari. Mengine binafsi (mema na mazuri) aliyokuwa nayo marehemu hakutaka sana tuyajue na hatuna sababu ya kuyasema sasa wakati hayupo. Sisi tunaonya tu, vijana wasiige maisha ya marehemu, maana yalikuwa ni maisha ya ovyo kupindukia.Na mimi nimestuka kuona anasema alikuwa anakunywa pombe, hakuwa anakunywa pombe kabisa kabisa...Maisha ya public yalikuwa kinyume kabisa na the person, William wa a very respectiful person...Mungu amrehemu!
Kuna mmoja alikuja kuwa kiongozi mkubwa nchini, lakini alipokuwa in 40s -50s alikuwa mteja mzuri sana Ohio Street; je na yeye unamweka kwenye kundi la watu wa ovyo sana?3. Mpenda umalaya.