Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Kuna mmoja alikuja kuwa kiongozi mkubwa nchini, lakini alipokuwa in 40s -50s alikuwa mteja mzuri sana Ohio Street; je na yeye unamweka kwenye kundi la watu wa ovyo sana?
Kama mtu alipenda umalaya na kujisifia au kuona ufahari kufanya umalaya, kwanini tusimseme?
Kwanini tusionye vijana wasije kuiga tabia zake?
 
Usimuhukumu mtu bila kujua,siku nikiweka Siri ya familia ya Mzee malecrla hapa hata wewe ungekuwa zaidi ya lemutuz.
Lemutus alikuwa na msongo wa mawazo,alijua tu atakufa siku si nyingi
Mkuu tuwejee plsss
 
Hapo namba nne mara nyingi zile vyakula na hotel yalikuwa matangazo ya biashara, aliwahi kuniambia yeye mwenyewe. Ndugu yangu alimlipa laki Tano kwa tangazooja la chakula na hiyo ilikuwa 2019
 
Huu ndio ukweli halisi. Leo mutuz alikuwa ni mshenzi mwenye umaarufu. Huyu ni chawa mkongwe, na kwa muda mwingi aliishi kwa kujikomba na kujifanya mjuaji. Alikuwa ni mfitini sana.
Naunga mkono hoja

Mhuni lazima achanwe tu hata kama kafa. Ndiyo maana mm namchana dikteta jiwe mpk kesho na mpk siku yangu ya mwisho
 
Hapo no 4 ,alimpitia mkeo nini?
 
Alikuwa hakubaliani na uzee. Yaani kama kuna kitu kilikuwa kinamfedhehesha kwenye maisha yake, basi ni umri mkubwa aliokuwa nao.
Tukiwafata ndugu zako na wale wanaokujua vizuri tukawauliza kuhusu wewe, watasema unaishi kama malaika? Au kwasababu haufahamiki basi unapata mafasi ya kufungua hilo kopo lako juu ya maisha ya watu wengine?

Ushenzi kabisa huu, aliyekuzaa kapata hasara sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…