Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Mkuu nimekufatilia kwa umakini sana na nimekuelewa vema hivi Daniel 11:41-45 hii kitu naomba unisaidie ufafanuzi wake..
 
Nimekuelewa sanaa mkuu.. Uwa naishia kumshukuru Mungu ukichunguza kwa undani kabisaa hii system imetengenezwa siafiki kama Mungu mkuu ana upendeleo wote tuko Sawa kwake
 
Kinachoshangaza zaidi ambacho kinaniweka njia panda kuna baadhi ya vitabu havikujumuishwa katika hiyo biblia na kusemekana havina umuhimu kibaya zaidi tumeaminishwa vya uongo Ila kuna mtume amenukuu hapa huwa napata ukakasi kuna kitu kimefichwa
 
Mengi yamefichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…