Tubadili majina ya Daraja la Mfugale na Kijazi

Wapo wengi sana wenye historia kubwa na nchi kuliko kijazi na mfugale.
Binafsi metric nzuri sio kutumia hayo majina, yatumike ya asili na chimbuko la maeneo hayo, taifa ni la watanzania wote sio la watu baadhi au viongozi.
 
Hiyo inakusaidiaje katika kuboresha maisha yako na kuongeza uwezo wa kulipia bando jipya?
Nenda Instagram au FB, hapa ni mahali pa great thinkers tu
 
Nenda Instagram au FB, hapa ni mahali pa great thinkers tu
Kama hii hoja ni great thinking basi Tanzania ina long way to go, discussing unproductive issues personally na kama nchi na ujiite great thinker ni aibu
 
Hayati akili zake zilikua n upungufu mkubwa,yani chizi fresh
 
Sina zaidi ila mwisho wa ubaya ni aibu
 

Ukiacha Utoto na kukua hata miaka 2 tu. Ufike 18. utapata mada za maana. Afu ndo mnalalamika bundle huko Tz kwa upuuzi kama huu. Sasa hapa TZ Itaendeleaje kwa watu wajinga kama wewe. Majina hayo wewe yatakusaidia ninl. Do you have their files. Unawajua kwa undani.
 

Wewe unaita Siri Wenzako walikuwa wachapa Kazi na sio wanafiki. Jenga choo mtaani kwako. Utachagua jina lako. Zaa mwanao umpe jina lako. Nunua bajaji nyuma andika LISSU
 
Upuuzi mtupu.


Mbona hauoji mtaa wa Livingstone pale kariakoo?
 
Unashabikia dhuluma za kwenye uchaguzi eeh! Sawa. Ila usisahau msichana mwanafunzi Akwilina aliuawa Na wendawazimu wenu mnaowaita polisi pale Kinondoni kwa sababu ya hizo dhuluma. Ni kheri wewe ndio ungekuwa umeuawa.
 
Huyu jamaa n nonsense kabsa ko uktaka tuweke Jina la baba yako hapo
Hao watu nao (Kijazi+Mfugale) wanamichango Yao katika ujenz wa taifa

Ila Kama umekeleka lete jna la baba yako au babu yako tuliweke
Simuungi mtoa mda kubadili majina lakini hawana mchango wowote special, ni kupeana tu kwa sababu ya Urafiki
 
Sema tuu makandokando yao mengine ila hayo madaraja wamejitahidi kuyajenga sifa nawapa kwa kweli na tatizo limepungua la foleni...
 
Hapana; ukisharuhusu hali hiyo, then nchi hii itakuwa ni ya kubadilisha majina ya landmark kila kunapotokea rais mwingine. Let us keep precedence, majina ya landmark yaliyokwisha wekwa kwa executive action yabaki hivyo hivyo. Ila tuwe na sheria thabiti ya kutoa majina kwa landmarks zetu. Miezi michache iliyopita niliongelea jambo hilo. Ingawa nawapnda sana barack Obama, Sam Nujoma, Nelson Mandela na Samora; sukufurahi nilipooona Ocean road ikibadilishwa kienyeji kuwa Obama, Mpakani ikigeuzwa kienyeji kuwa Sama Nujoma, Port Access Road ikigeuzwa kienyeji kuwa Nelson Mandela, na Independence ikigeuzwa kienyeji kuwa Samora.
 
Acha ujinga. Lukuvi ni Mwalimu wa UPE baada ya kumaliza STD VII, hana elimu yeyote.

Ukada wa CCM, unafiki na u-snitch ndiyo umemfikisha hapo kuwa Waziri.
 
Hakuna haja ya kubadilisha.ila jengeni mengine myaite na majina yenu .kinawauma nini .au Engineer, eti walilipwa mshahara. Vip Baba wa taifa JNK Hakuwa ana liwa.pumbu izo jengeni mengine vibaraka nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…