Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

Kamsikilize vizuri Jesca. Kasema tangu alipokufa baba yao mama Samia anasomesha watoto Jpm kwa kuwalipia ada mpaka sasa
Kwani wanu sijui mwanu hakulipiwa Ada?
Unavyoona mchengerwa anapaswa kuwa Waziri kweli?
 
Dah ndugu yangu funika kombe mwanaharamu apite hiki ni kilio cha samai machozi baharini kama baba msukuma mkokoteni hata akili uwe ya kusha rocket utaridhi mikokoteni mibovu ukiona kobe juu ya mbuyu ....
 
Unaniangusha ntakurudisha mfaranyaki. Kwani vigezo vya kupata nafasi ya kusoma degree ni lazima ufanye mitihani ya ACSEE? Vipi kama alipata certificate na Diploma kisha Degree?
Hata hizo Certificate na Diploma sijaona, maana kamaliza 2011, 2012 anaomba bachelor UDOM.

ndo maana wadau wakahoji inawezekanaje hii, tazama vizuri hapo ktk uzi husika.
 
Amesema hana pesa?au sijasikiliza vizuri
Angekua na pesa angesaidia wadogo zake akawalipia Ada. Hujui Tafsiri ya maneno wwe. Dogo hana hela kwani Ada ya chuo si milion 3 per year,labda udaktari

Why mpaka Samia Asaidie?

Hana hela Ndio tafsiri yake
 
Huyo mrembo ana nyota kali, katika watoto wa Mzee Magu yeye ndo maarufu
Kabisa na sijui kapenyaje penyaje huyu dogo among sons and daughter’s wa Magu yeye ni maarufu pekee.

Mtaani kwangu kuna mtoto wake mmoja amejenga ila hajulikani Jina zaidi ya kwa mtoto wa Magufuli
 
Kwa swhemu kubwa mahojianl yale ni maigizo, full staged, kila kitu kilipangwa namna ya kuzungumzwa, kuanzia maswali mpaka majibu. Nothing new or special.

Magufuli sote tunamjua, kabla ya kuwa waziri, alipokuwa waziri na mpaka amekuwa rais. Hatukuhitaji kuambiwa habari zake binafsi miaka minne baada ya kifo chake na binti yake ambaye ameamua kuingia kwenye siasa.
 
Lilikuwa ni jizi
 
Hivi huyu si ndo alipata 4 St Mathew, afu akaibukia UDOM? nasikia sahivi yuko BOT? au namfananisha?
Kupata div 4, haimaanishi huwezi kufika chuo kikuu, haimaanishi kwamba huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…