Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

Kwan wewe una ndugu wangapi waliopata 4 ila wanasoma vyuo sasa?
Mbona sio maarufu.
Kwanza kabisa umeuliza kwa nini huyo Dada ni maarufu kuliko ndugu zake wengine,
Mimi nimekujibu kuwa sababu ni hiyo skendo ndio ilipelekea.
UMaarufu wake ulianzia hapo.

Sijasema skendo ni ya kweli au lah.

Halafu sina ndugu ambae alipata div 4 na yuko chuo kwa sasa.
 
Hakua baba wa kudekeza watoto wala kupenda kuwalimbikizia mali. Watoto wake kupewa zawadi za magari ya kawaida kama Toyota Raum na IST hata alipokua Raisi ambaye anamudu kifedha kuwanunulia magari ya kifahari.
Hapa kwenye magari weeh,apa nimemnyooshea Mikono πŸ˜‚πŸ˜‚kama huyu jesca anavoshangaa alipewa IST akitegemea atakutana labdah na Discovery,Benz kama Mzee au Land cruiser...ila Mzee aliamini katika falsafa moja ili ufike juu unatakiwa kuanzia chini na hiki ni kitu kizuri Sana tofauti na kuanzia juu ukija chini unaweza Dhani Dunia imekutenga
 
Hata hizo Certificate na Diploma sijaona, maana kamaliza 2011, 2012 anaomba bachelor UDOM.

ndo maana wadau wakahoji inawezekanaje hii, tazama vizuri hapo ktk uzi husika.
Matokeo ni ya 2011 na chuo kamaliza 2019 maan yake alianza 2016. Kwa hiyo sio kwel kwamba alimaliza form 4 halafa akaenda degree moja kwa moja!!
 
Kama kamaliza Chuo kikuu 2019 maana yake alikua na miaka 2 nyuma ya kusubiri kusafisha cheti au kusoma certificate, diploma then degree, la sivyo ingekua 2011 form 4, 2012 na 14 advance then 14 hadi 17 degree. Kuna elimu amechukua alipopumzika sidhani kama kuna namna ilifanyika.
 
Ni maarufu kwa sababu ya skendo ya kupata division 4 "O" level" na kuingia UDOM kusoma.
Hapana, umaarufu aliupata baada ya ku disco UDOM, halafu ujanja ujanja ukafanyika akabaki. Ikiwa baba yake aliwaita wale watoto wa diploma β€œVilaza” hawafai kuwepo UDOM wahamishwe vya kati.

Kama alipata division 0 O-level sina hakika.

WaTz mnasahau haraka sana.
 
Baada ya kupata 4 olevel alirudia mtiani then akasoma QT (4&5 mwaka mmoja) then akaingia chuo.
 
Matokeo ni ya 2011 na chuo kamaliza 2019 maan yake alianza 2016. Kwa hiyo sio kwel kwamba alimaliza form 4 halafa akaenda degree moja kwa moja!!
2019 ni masters ndo kamaliza.
 
Lengo siyo kusifia, soma vizuri nyuzi mkuu.

Unaweza kusema mabaya pia uliyoyaona kwenye hayo mahojiano.
Nasema hivyo kwa sababu watu huwa mbaka wanaomba ufufuke eti aje aone kinachoendelea Tz, Sasa huoni kuwa ni tatizo?
Kwa nini wamtumainie mtu mfu? Je kwani Mungu wa kumtumainia hayupo?
 
The dark side to such interviews will never be told
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…