rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
No nasema TU kiujumla.Unapenda mwanamke mnene sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No nasema TU kiujumla.Unapenda mwanamke mnene sana?
Labda kiujumla pia wazungu hawapendi wanawake mabonge.No nasema TU kiujumla.
Ila kiukweli mabonge hapana.Labda kiujumla pia wazungu hawapendi wanawake mabonge.
Dah kumbe unafiki upo pia kwao.Hapo kwenye waingereza umesahau kwenye unafiki hawana mpinzani
Kwenye uzi gani huko kwenye jukwaa afya?We jamaa uliye anzisha uzi unatafutwa kule jukwaa la afya...
Mtambachuo
Ndio kwasababu wanatoka Bara la Ulaya.Warusi ni wazungu?
Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponyaKwenye uzi gani huko kwenye jukwaa afya?
Sawa mkuu ngojea niendeUshuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya
Wamekufanyaje mkuu...? walikunyima Pizza au wine🤣Waitaliano Manina zao Hawana Adabu abadani
wengi wao wanatabia za kiupindeupinde na navyosikia hawa hata wanawake wao kutoa tigo ni kawaida sanaWamekufanyaje mkuu...? walikunyima Pizza au wine🤣
Pia nasikia ni watu wa kelele nyingi sana. Waongeaji kwa sauti na fujo nyingi.wengi wao wanatabia za kiupindeupinde na navyosikia hawa hata wanawake wao kutoa tigo ni kawaida sana
hilo hapana hawapo hivyo!Pia nasikia ni watu wa kelele nyingi sana. Waongeaji kwa sauti na fujo nyingi.
Unene jau mkuu, hata kwenye movie vibonge hawapendezi.Wazungu wapumbavu sana. Waliona wanawake wao ni wembamba na hawana makalio wakanzisha kampeni za kuchukia watu wanene ambapo wanawake wetu wenye miili ya kiafrika na misambwanda ya kwenda wakangukia humo.
Hadi mashindano ya Miss world, watu wembamba ndio wanapewa nafasi. Kwenye umodel hivyo hivyo na kwenye movie pia.
Matokeo yake wameharibu sana wanawake weusi psychologically yaani mtu akinenepa kidogo TU anajichukia.