Tuchambue Wazungu wa nchi mbalimbali kwa sifa na tabia zao.

Tuchambue Wazungu wa nchi mbalimbali kwa sifa na tabia zao.

Hii si kweli, nina rafiki zangu weusi wapo Germany, wanasema Germany ni moja kati ya nchi zenye sheria kali sana dhidi ya ubaguzi
Hapo hupati hata picha mkuu?

Mfano Botswana au Misri hawana adhabu kali ya kuua albino kwa sababu kule watu wenye imani potofu za kuua albino wapate mali hawapo. Kwahiyo albino wa Misri akiuwawa ni kama akiuwawa kibonge au mama ntilie. Ila Tanzania albino wanauwawa kikatiri hivyo si ajabu kuona kuna adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa wauaji, ilhali mauaji ya muuza mchele yana kifungo cha miaka 30.

Hivyohivyo kwa Ujerumani sababu ni wabaguzi wakubwa kwa asili, ndio maana sheria ni kali. Ujerumani waliuwa mamilioni ya Wayahudi ila ukienda kuwakashifu Wayahudi leo hapo Ujerumani unapata kifungo kikubwa kuliko ukikashifu Wareno.
 
Italiano
wabahili sana!.

warusi
walevi mpk pombe inawaogopa!.

Germany
wapo makini na serious!.

American
Serious and focus!, hawa ndo wajanja wa dunia!.
America ,US haina mwenyewe....ni mchanganyiko tofauti na hao wengine.umezingua
 
Nimeshasema hawanaga Adabu..SA wataka nisemaje zaidi ama mkuu shemeji NI muitaliano?..Mtu akipenda chongo huona kengeza🤣🤣
Hapana mkuu yaani adabu ni subjective. Inakuwa ngumu kupima

ungeeleza wazi zaidi.
 
Back
Top Bottom