Tuchambue Wazungu wa nchi mbalimbali kwa sifa na tabia zao.

German- wachapakazi, wapo serious, wana uzalendo sana Kwa Taifa lao

England - wapenda sifa, wana madeko,

Norway, Sweden, Denmark, Canada-
Hawa ndo wazungu wenye uzungu wao,
Wamenyooka, wana roho nzuri na pesa wanazo
Ukipata connection nenda hizo nchi

Russian- wachapakazi, wana mkwanja na uzungu wanao, sio wabahali
Ishi nao kinafiki usiingilie siasa zao
 
na ni kweli huwa wananichanganya sana wale viumbe!..
ile jamii imejimix sana!
Marekani na Canada ni nchi za wageni.

Marekani ingebaki na Red Indians tungeiita nchi ya watu katili vibaya mno na hawapendi wageni. Sasa imejaza Wafaransa, British, Irish, Jews, Germans, Italians, Africans, Indians, Spaniards, etc na wote hawa kila jamii ina tabia yake.

Kiujumla:
1. Wafaransa ni kazi na bata, wanafanya kazi haraka kwa umakini wamalize wapumzike ila hawafanyi kila muda. Hawana bureaucracy kama Waingereza. Pia wanapenda mapishi, wana vifaa vingi vya jikoni vikiwa na majina na shape na matumizi yanayotofautiana kidogo.

2. Waingereza hawajui mapishi, wapenda bia, wastaarabu na wana utu kidogo, wanaume wanalea vitambi. Wana bureacracy kwenye kila kitu.

3. Jews wanapenda kujitenga, wanapenda kutazama faida kwao tu bila kujali athari kwa wengine yani kukupiga mikopo umiza na riba kubwa sio shida kwai, kuhodhi mali, sekta na mamlaka. Wanateteana sana hata kama wamekosea. Ni wavumbuzi na wanatatua shida mbalimbali endapo inawanufaisha.

4. Germans wachapakazi, hawajui utani, hawapo wacheshi, wanawake wao wana tabia za kiume kiasi.

5. Waitaliano wanalinda tamaduni na taratibu zao, wanapenda magenge au jumuiya yaani wanaunda vikundi kwa kila kitu.

6. Indians wana-fake heshima, wanabebana sana, wanafoji uwezo, kila kitu wanaua bei, wana determination kubwa hata kama hazimo sana kichwani ataweza tu.

7. Spaniards ni wavivu. Wao kila kitu kikiwa sawa hawajisumbui kuwaza 'what if?'

Irish na Scotish sijui.
 
German- wachapakazi, wapo serious, wana uzalendo sana Kwa Taifa lao

England - wapenda sifa, wana madeko,

Norway, Sweden, Denmark, Canada-
Hawa ndo wazungu wenye uzungu wao,
Wamenyooka, wana roho nzuri na pesa wanazo
Ukipata connection nenda hizo nchi

Russian- wachapakazi, wana mkwanja na uzungu wanao, sio wabahali
Ishi nao kinafiki usiingilie siasa zao
Warusi mabahili. Tafuta hata wafanyakazi wa utalii Zanzibar wakwambie maana Warusi wanapapenda uko.
 
Safi mkuu umechambua vizuri. Kumbe basi hata msingi wa kanisa Katoliki
kuwa na jumuiya ndogo ndogo za kusali watakuwa wametoa kwenye utamaduni
wa Kiitaliano.
 
German- wachapakazi, wapo serious, wana uzalendo sana Kwa Taifa lao

England - wapenda sifa, wana madeko,

Norway, Sweden, Denmark, Canada-
Hawa ndo wazungu wenye uzungu wao,
Wamenyooka, wana roho nzuri na pesa wanazo
Ukipata connection nenda hizo nchi

Russian- wachapakazi, wana mkwanja na uzungu wanao, sio wabahali
Ishi nao kinafiki usiingilie siasa zao
Umechambua vizuri mkuu ila Warusi ni wabahili na wabaguzi sana hasa kwa mtu

mweusi.
 
Wajerumani wanasifika kwa roho mbaya hawacheki na wowote, na ni kati ya nchi chache zilizobaki za ulaya magharibi ambazo bado zinaendeleza ubaguzi wa kiwango kikubwa kwa mtu mweusi, hata hivyo inasemekana chanzo cha wao kuonekana wana sifa hiyo ni kwa sababu ya Adolf Hitler
 
Safi mkuu umechambua vizuri. Kumbe basi hata msingi wa kanisa Katoliki
kuwa na jumuiya ndogo ndogo za kusali watakuwa wametoa kwenye utamaduni
wa Kiitaliano.
Si lazima hizo jumuiya ziwe nzuri, hata makundi ya mafia na cartels Waitaliano wanayo tena magumu kuyamaliza hata Marekani na Italy.

Waitaliano ni more likely kuanzisha vikoba, kundi la majambazi, chama cha wauzaji au watoa huduma. Jambo zuri au baya wanaundia kikundi
 
Wajerumani wanasifika kwa roho mbaya hawacheki na wowote, na ni kati ya nchi chache zilizobaki za ulaya magharibi ambazo bado zinaendeleza ubaguzi wa kiwango kikubwa kwa mtu mweusi, hata hivyo inasemekana chanzo cha wao kuonekana wana sifa hiyo ni kwa sababu ya Adolf Hitler
Ni kweli nasikia Wajerumani wana ubaguzi sana.
 
Wajerumani wanasifika kwa roho mbaya hawacheki na wowote, na ni kati ya nchi chache zilizobaki za ulaya magharibi ambazo bado zinaendeleza ubaguzi wa kiwango kikubwa kwa mtu mweusi, hata hivyo inasemekana chanzo cha wao kuonekana wana sifa hiyo ni kwa sababu ya Adolf Hitler
Hii si kweli, nina rafiki zangu weusi wapo Germany, wanasema Germany ni moja kati ya nchi zenye sheria kali sana dhidi ya ubaguzi
 
Back
Top Bottom