Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Wamama was Poland huwa nawafananisha na wamama wasongea
Wameshika ukatolic balaa muda wote ave maria
Wameshika ukatolic balaa muda wote ave maria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, nature yao tu kwa sababu nimekaa nao sanaWamekufanyaje mkuu...? walikunyima Pizza au wine🤣
Wamarekani hawana utamaduni wala asili wala jamii moja. WatoeItaliano
wabahili sana!.
warusi
walevi mpk pombe inawaogopa!.
Germany
wapo makini na serious!.
American
Serious and focus!, hawa ndo wajanja wa dunia!.
Sio wamama tu, Poland ni nchi ya Kikristo completely hadi ngazi ya kitaifa. Wao na kanisa ni kama kijana wa bongo na Simba/Yanga, bongofleva na mapenzi.Wamama was Poland huwa nawafananisha na wamama wasongea
Wameshika ukatolic balaa muda wote ave maria
na ni kweli huwa wananichanganya sana wale viumbe!..Wamarekani hawana utamaduni wala asili wala jamii moja. Watoe
Marekani na Canada ni nchi za wageni.na ni kweli huwa wananichanganya sana wale viumbe!..
ile jamii imejimix sana!
Warusi mabahili. Tafuta hata wafanyakazi wa utalii Zanzibar wakwambie maana Warusi wanapapenda uko.German- wachapakazi, wapo serious, wana uzalendo sana Kwa Taifa lao
England - wapenda sifa, wana madeko,
Norway, Sweden, Denmark, Canada-
Hawa ndo wazungu wenye uzungu wao,
Wamenyooka, wana roho nzuri na pesa wanazo
Ukipata connection nenda hizo nchi
Russian- wachapakazi, wana mkwanja na uzungu wanao, sio wabahali
Ishi nao kinafiki usiingilie siasa zao
Safi mkuu umechambua vizuri. Kumbe basi hata msingi wa kanisa KatolikiMarekani na Canada ni nchi za wageni.
Marekani ingebaki na Red Indians tungeiita nchi ya watu katili vibaya mno na hawapendi wageni. Sasa imejaza Wafaransa, British, Irish, Jews, Germans, Italians, Africans, Indians, Spaniards, etc na wote hawa kila jamii ina tabia yake.
Kiujumla:
1. Wafaransa ni kazi na bata, wanafanya kazi haraka kwa umakini wamalize wapumzike ila hawafanyi kila muda. Hawana bureaucracy kama Waingereza. Pia wanapenda mapishi, wana vifaa vingi vya jikoni vikiwa na majina na shape na matumizi yanayotofautiana kidogo.
2. Waingereza hawajui mapishi, wapenda bia, wastaarabu na wana utu kidogo, wanaume wanalea vitambi. Wana bureacracy kwenye kila kitu.
3. Jews wanapenda kujitenga, wanapenda kutazama faida kwao tu bila kujali athari kwa wengine yani kukupiga mikopo umiza na riba kubwa sio shida kwai, kuhodhi mali, sekta na mamlaka. Wanateteana sana hata kama wamekosea. Ni wavumbuzi na wanatatua shida mbalimbali endapo inawanufaisha.
4. Germans wachapakazi, hawajui utani, hawapo wacheshi, wanawake wao wana tabia za kiume kiasi.
5. Waitaliano wanalinda tamaduni na taratibu zao, wanapenda magenge au jumuiya yaani wanaunda vikundi kwa kila kitu.
6. Indians wana-fake heshima, wanabebana sana, wanafoji uwezo, kila kitu wanaua bei, wana determination kubwa hata kama hazimo sana kichwani ataweza tu.
7. Spaniards ni wavivu. Wao kila kitu kikiwa sawa hawajisumbui kuwaza 'what if?'
Irish na Scotish sijui.
Hujaeleza hiyo nature yao yani ipoje?No, nature yao tu kwa sababu nimekaa nao sana
Umechambua vizuri mkuu ila Warusi ni wabahili na wabaguzi sana hasa kwa mtuGerman- wachapakazi, wapo serious, wana uzalendo sana Kwa Taifa lao
England - wapenda sifa, wana madeko,
Norway, Sweden, Denmark, Canada-
Hawa ndo wazungu wenye uzungu wao,
Wamenyooka, wana roho nzuri na pesa wanazo
Ukipata connection nenda hizo nchi
Russian- wachapakazi, wana mkwanja na uzungu wanao, sio wabahali
Ishi nao kinafiki usiingilie siasa zao
Wataliano wengi ni washenzi washemzo tu na ni wabaguzi hatari,Hakuna tabia za jumla katika kabila wala utaifa. Tabia ni individual aspect ya mtu mmoja mmoja kulingana na genetics makeup pamoja na mazingira aliyokulia.
Niliwahi kuonywa na msweden mmoja kuwa niwe makini sana na waitaliano,, muda si mrefu likatokea lile tukio la waitaliano kumlawiti mmasai Zanzibar nikapigia mstariManina zao Hawana Adabu abadani
Si lazima hizo jumuiya ziwe nzuri, hata makundi ya mafia na cartels Waitaliano wanayo tena magumu kuyamaliza hata Marekani na Italy.Safi mkuu umechambua vizuri. Kumbe basi hata msingi wa kanisa Katoliki
kuwa na jumuiya ndogo ndogo za kusali watakuwa wametoa kwenye utamaduni
wa Kiitaliano.
Ni kweli nasikia Wajerumani wana ubaguzi sana.Wajerumani wanasifika kwa roho mbaya hawacheki na wowote, na ni kati ya nchi chache zilizobaki za ulaya magharibi ambazo bado zinaendeleza ubaguzi wa kiwango kikubwa kwa mtu mweusi, hata hivyo inasemekana chanzo cha wao kuonekana wana sifa hiyo ni kwa sababu ya Adolf Hitler
Waitaliano washenzi Acha Kabisaaa..Niliwahi kuonywa na msweden mmoja kuwa niwe makini sana na waitaliano,, muda si mrefu likatokea lile tukio la waitaliano kumlawiti mmasai Zanzibar nikapigia mstari
Nimeshasema hawanaga Adabu..SA wataka nisemaje zaidi ama mkuu shemeji NI muitaliano?..Mtu akipenda chongo huona kengeza🤣🤣Hujaeleza hiyo nature yao yani ipoje?
Hii si kweli, nina rafiki zangu weusi wapo Germany, wanasema Germany ni moja kati ya nchi zenye sheria kali sana dhidi ya ubaguziWajerumani wanasifika kwa roho mbaya hawacheki na wowote, na ni kati ya nchi chache zilizobaki za ulaya magharibi ambazo bado zinaendeleza ubaguzi wa kiwango kikubwa kwa mtu mweusi, hata hivyo inasemekana chanzo cha wao kuonekana wana sifa hiyo ni kwa sababu ya Adolf Hitler